Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Naomba kujua kwa mtaji wa laki tano unaweza kufanya biashara gani?

714de13e9372a3a1e1d886145d928514.jpg
Uza vikorokoro vya wanafunzi wa shule ya msingi kama vile bajia ubuyu wa Zanzibar n.k vitakulipa sana na utakuja hapa kunishukuru..tafuta nafasi kwenye shule ya msingi yenye population kubwa...anza kutafuta nafasi sasa hivi I'll itakapofika January use na nafasi tayari..mtaji wake haufiki laki moja
 
Mi nakushauri kwanza wewe mwenyewe uwe na wazo la biashara unayotaka kuifanya kwa mtaji wako huo halafu ndo wadau wakushauri kwa kukufanyia analyisis, biashara ni kama imani, biashara unayoipenda utaipigania mpaka itafika pale unapotaka ifike, lakini ukifanya kitu kwa sababu umeshuriwa tu na sio kutoka moyoni unaweza kupata shida kutaka kuiendeleza vyema. Lakini wazo la mtu laweza kukufaa pia kama ni sehemu ya mapendekezo yako.

Huo ni mtazamo wangu tu katika kuchangia wazo la mdau.
 
asante mkuu kwa ushauri ,,Biashara ninayoipenda kutoka moyoni ni kuuza chips SKU nyingi sana nilikua natafuta mtaji wa kuanzia,,,vp kuhusu wewe unanishauri nini juu ya hilo
 
Back
Top Bottom