Ushauri na mawazo kuhusu hili

Ushauri na mawazo kuhusu hili

Akawaombee ilu a some with maana zipo kwa cozi kwa ajiri ya kuingizia chuo kipato lakn hazina mbele wars nyuma
nashukuru mkuu nilikua na mawazo kama hayo nikawa na sita kwasababu kozi yenyewe mi siijui
 
sio mimi ambaye kwanza niliyefanya hiyo application ko hata mimi nimeshangaa! sasa ukiniambia natafuta kiki.....kuna vitu vya kiki sio hicho!
Mkuu nimekuelewa...leta matokeo yake hapa na program anayotaka kupiga ukiachana na hiyo bsc bios pale udom...nikupe utaratibu wa kubadilisha program kwa hapo chuoni
 
CBG division two ya kumi
biology c,chem d geog c ndio hayo mkuu
 
Mkuu nimekuelewa...leta matokeo yake hapa na program anayotaka kupiga ukiachana na hiyo bsc bios pale udom...nikupe utaratibu wa kubadilisha program kwa hapo chuoni
Mkuu nisaidie nami nimechaguliwa hapo bache of biology matokeo yangu yalikua yafuatayo..biology B,chemistry B,physics E.Bam C je naweza kuchange hii koz maana naambiwa bio haina mpango hapo Mimi naijua vizuri mnooo
 
Ww ulikuwa unataka kusoma nn?
 
Mwaka huu Imetokea Na Huyu C Wa Kwanza Kukutana Na Janga Kama Hilo wapo Wengi sana Wamekumbwa Na Issue Kama Hiyo
Co kwel may b kma ulikuwa unashare account yako na watu
 
Amini Hvyo Labda Kwa Kuwa Hujakutana Nalo Ila Pia Nikupe Mfano Kuna Mtu Aliambiwa hayuko Selected First Round Kaapply 2nd Round Jana Majina Ya ITA yametoka Na Jina Lake Lipo je Wajua???
 
Itakuwa mpya masikion mwangu
 
Back
Top Bottom