Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,477
Naomba usinichoke..Elimu inayotolewa ni kama Ya chuo chochote hapa Tanzania
UDSM ndiyo namba wani bwana
Naomba usinichoke..Elimu inayotolewa ni kama Ya chuo chochote hapa Tanzania
Hayo ni maneno yako. Hebu uliza soko basi???..Limebaki Jina tu![]()
![]()
..Kumbe hata hujui soko lopoje,napoteza muda hapa kumbeHayo ni maneno yako. Hebu uliza soko basi???
..unapajua UDOM?!Mazingira ya kusomea shida kwa kweli alafu faculties ziko mbali mbali full mazoezi kitu mita 500

Nimefika wakati wanajenga na baada ya kujenga almost mara 3..unapajua UDOM?!![]()
![]()
bila kusahau ni chuo kilicho zalisha wezi wa rasilimali zetu kwa wingiUdom ni chuo chenye eneo kubwa Tanzania. Na chuo bora Tanzania ni UDSM tu
Toa ma blog uchwala yako hapa
Ni namba 1 kwa ukongwe sio ubora wa elimuNaomba usinichoke
UDSM ndiyo namba wani bwana
Mkuu kuhusu udini hapo kama sjakuelewa hebu fafanua vizuriUbora wa chuo cha Dodoma unakwamishwa na udini katika Taifa letu,Kiukweli Udom ni chuo bora lakini si kwa kulinganishwa na vyuo vikongwe nchini,Vipo vyuo ambavyo ukitajiwa lazima uogope tangu hapo nyuma na mpaka leo hii kama vile Mzumbe na SUA ila hivyo vingine tukiacha unafiki vinabebwa na Ukongwe lakini sio ubora wa Taaluma,Mfano mtafute mwanaIT wa Udom umuweke na wa Udsm huyu wa Udsm lazima atafute njia kwa kuwa Udom kitivo cha IT kiko poa sana na ndio maana nguvu nyingi sana inatumika kukishusha hiki chuo na imefikia wakati leo hii karibu kabisa na Udom kuna majengo yanaendelea kujengwa kama chuo ili tu kukififisha chuo hiki cha Udom(karibu na CCM convection kuna majengo yanajengwa ni chuo chini ya Ukristo).
Lakini pia Chuo kikuu cha Dodoma huenda kikawa ni Chuo pekee kilichonyimwa fursa ya kuwa na international university partners,chuo hiki hakina hata partner mmoja zaidi ya Microsoft kudhamini kitengo cha IT na ndio jamaa wako fiti mno.
Mimi nafikiri serikali ikiamia dodoma vyuo vikongwe vitatafuta pa kujificha maana maprof.watahitaji kukaa na serikali yao kwa ulinzi na usalama wao.
Ni maono yangu kama MchivuWaFikra.
Hivi udom umeanza kwa kusema chuo bora mkuu naomba kukuuriza swari ni cha ngapi kwa ubora africa
Nimehitimu UDOM mkuu.Ukitaka nikudharau kitaaluma, niambie umehitimu UDOM...
Je unaweza kuishi nje ya chuo kama hutaki hostel za ndani!?