Habari zenu wakuu

bayuon

Member
Sep 27, 2016
14
11
Mm nimechaguliwa udom bachelor of biology lkn nasikia eti iyo koz haina mpango wowote yaani wengi wanaomaliza kusoma hawapat kaz pia field hakuna..naomba tujuzane kama ni kweli nianze mipango ya kuhama mapema iwezekanavyo
 
Sasa ulipokuwa unafanya selection ya faculty hukufanya upembuzi yakinifu??

Jiandae kuwa ticha wa Bios tu maana hakuna namna
 
Ujue chuo kinaweka fucult za kuingizia kipato ila so kwamba kwa musomaji h aina mbere wars nyuma cha musingi kabadirishee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom