kwa mujibu wa idhaa ya kiswahili ya sauti ya ujerumani..sikumbuki tarehe ila ni mwezi wa 3 mwaka 2011 kwenye habari ya saa 7 mchana...HOLLYWOOD ni ya kwanza kwa ubora,mauzo,wingi wa kazi za filamu,umaarufu,ya pili BOLLYWOOD,ya tatu NOLLYWOOD...TOLLYWOOD sina uhakika ni ya ngapi...binafsi...