Wenye Moyo jitokezeni basi..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenye Moyo jitokezeni basi.....

Discussion in 'Jamii Photos' started by Leornado, May 20, 2011.

 1. L

  Leornado JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  Kama kibao kinavyojieleza, watanzania wenye moyo wako wapi ? ni kina nani? manake waliopo karibu wote wabomoaji na mafisadi wasio na moyo.
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  wenye moyo wapo,tatizo ni kuwa inaliwa na wenye meno na hao ni wengi zaidi ya wajengaji!
   
 3. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wenye moyo?
   
 4. c

  chelenje JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umenikumbusha primary school, long time tulikuwa wazalendo kweli kweli...
   
 5. K

  Kijunjwe Senior Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2007
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kweli Tanzania inajengwa na wenye moyo, lakini wenye meno wamezidi kasi ya wenye moyo...........hivyo ulaji ni mkubwa kuliko uzalishaji........ guess what? ......umasikini ndo unaongezeka maana wanakula mpaka visivyo vyao
  .
   
 6. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Tanzania itajengwa na wenye Moyo na kuliwa na wenye Choyo
   
 7. S

  Soyinkwa Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni kweli kabisa lakini siku izi mambo ni tofauti kabisa yani watu wanatumia madaraka kujilimbikizia utajiri wa nchi...kwa hali hii hatutafika kokote zaidi ya kufundisha kizazi kinachokuja nacho kufanya maovu haya...itafika mahali wenye moyo watachoka na ndipo watakapoanza kutafuta njia ya kuikomboa nchi yao kwa nguvu...am out
   
 8. blackdog

  blackdog Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wenye moyo watajenga lakini wenye meno ni wengi kuliko wao,tutegemee kuliwa zaidi kuliko kujenga
   
 9. Tyta

  Tyta JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 12,846
  Likes Received: 2,870
  Trophy Points: 280
  Freedom is coming soon or later
   
 10. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Mbona wote tuna huo moyo
   
 11. G

  GJ Mwanakatwe JF-Expert Member

  #11
  May 23, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 241
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tatizo hapaeleweki wapi pa kujitokezea, wapi? moyo upo
   
 12. b

  bayonet Member

  #12
  May 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anza kujitokeza wewe,kwani wewe ndio kiini cha maovu yote yanayotokea katika jamii aidha kwa kuyashabikia ama kuyafumbia macho ama kumnyooshea tu mtu kidole na kushindwa kureact...........take good example kwa yule mwanafunzi wa tunisia ndo nawe uanzie hapo,usipoweza better uhame jf
   
 13. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #13
  May 23, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mbona wenye moyo walishajitokeza? angalia walivyofika mbali!!
   
 14. s

  sativa saligogo Senior Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wenye moyo wanaendelea kupiga jaramba na mwelekeo unaonekana kilichobakia ni ukamilishaji tu!!
   
 15. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Kweli kabisa mkuu nakumbuka wakati nilipokuwa nakula kiapo cha chipukizi...kuwa mimi ni chipukizi wa Tanzania, nitaitumikia na kuilinda nchi yangu ya Tanzania, muda wowote, mahali popote..ewe mwenyezi mungu nisaidie....ilikuwa inatoka ndani ya moyo kabisa..lakini sasa mambo hovyo hovyo!
   
 16. s

  sawabho JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha nyimbo za kipindi kile wakati nikiwa Kinda zilikuwa hivi........Taifa litajengwa na wenye moyo, Iya Iya na wenye moyo.......Taifa litajengwa na kina nani.......... Iya iya na wenye moyo......

  Yaani nakwambia tulikuwa tunapewa na kujengewa moyo wa Utaifa na Utanzania zaidi.
   
Loading...