Swali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali

Discussion in 'Jamii Photos' started by Muadilifu, Aug 11, 2011.

 1. Muadilifu

  Muadilifu Senior Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 150
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Najiuliza tu, huyu Mheshimiwa alikuwa anaangalia nini hapo chini?
  VHOUSE2.JPG
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Uroho tu unamsumbua huyo mheshimiwa! Hapo alipo yupo kimwili tu lakini akili yake imefika mbali sana.
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Kwa kuwa wewe ni Muadilifu hata tukikueleza hutaelewa?

  Kama asingeangalia iki kuprove kama macho yake bado yako hai ningemshangaa sana Uncle Lundenga, mzee wa Moro!!
   
 4. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,386
  Trophy Points: 280
  we hujaangalia?
   
 5. Jeruh

  Jeruh Member

  #5
  Aug 11, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mwanaume ambaye atakuwa hapo alipo uncle na hatoangalia basi yawezekana si mzma
   
 6. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  naona hata bint Makamba kamshtukia
   
 7. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,067
  Likes Received: 1,805
  Trophy Points: 280
  alikuwa akimshangaa mbona kavaa vyavu! amekosa nguo au..?!
   
 8. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  macho kodonkodo
   
 9. K

  Kasanga Member

  #9
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 19, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anamvutia pumzi! maana this time wameamua kuwafungia jela kabisa ili wabanwe na liu wapate kuwatafuna Vizuri! Last time warembo walipokuwa Girraffe Hotel walikuwa usiku wanatoroka kwenda kupata First aid kwa wapenzi wao but this time wameweka mpaka camera ili mtu asije toroka.

  Jamani tuwaonee huruma hawa akina dada! maana waliliwa na hiyo group ya wakware wakiongozwa na huyo Mhindi Prashant mpaka washika adabu! Halafu bado kuna hao mapedeshee nao watagawiwa kama njugu nao wawalambe! kwakweli hii Miss Tanzania usije ukaruhusu demu wako iangie!
   
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  paja hizo nje nje we huzioni???
   
 11. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #11
  Aug 11, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  ha, huyu binti nilimpa kitambaa akamshonee mdogo wake gauni yupo std-7 kumbe yeye kashona nguo yake.
   
 12. wende

  wende JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2011
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Si unajua mzee naye hayupo nyuma sana na vimwana??

  [​IMG]
   
 13. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  tatizo mimi naona sio utoji wa macho jaribu kuangalia liulimi lilimvyo mtoka hapo bado udenda tu..ni kama ana sema yaani ni mtamu kumn..nya..
   
 14. b

  bayonet Member

  #14
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa,ulimi na macho kodoooooooo,kwisha kazi huyu babu
   
 15. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #15
  Aug 12, 2011
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  kwahali hii hakuna kupona sanasana tunaongezewa dhambi ya kuzini kwa kutamani
   
 16. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  huyu ndo uncle bana! UNCLE.jpg
   
Loading...