Recent content by bawe

  1. B

    JamiiForums Tanzania Uislamu Siyo Kilema, Waislamu acheni kulia lia Tunapowakosoa

    Umesema kweli kabisa, ushungi na kanzu havipo kwenye sera za vyama wala katiba
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu nambeni ushauri wenu kwa kijana wangu

    Form four results DIV 3 YA 25 Ponts CIV =C HIST =D GEOG =D KISW =C ENG = D ELIMU/D/KIISLAM =C ARABIC = D BIO = D B/MATH= F Ajiandae kwa wapi? Ualimu anaweza kuchaguliwa?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nur Islamic seminary S1078 nini tatizo?

    Matokeo ya kidato cha nne yametoka ni zaidi ya wiki, lakini kwa wanafunzi zaidi ya 40 wa shule ya NUR ISLAMIC SEMINARY bado matokeo yao hayajafunguliwa wameekewa alama E. Necta wanasema watoto hawakulipiwa na ili matokeo yafunguliwe kunahitajika malipo, tumefuatilia shule wanasema kulitokea...
  4. B

    JamiiForums Tanzania MNEC Haji Jumaa ambomoa Dkt. Bashiru Ally

    😂😂😂
  5. B

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika

    Tofauti ya ya maandishi kati ya Mzanzibar na Mtanganganyika ; subaana huwataala = Subhaanahu Wataala ZANZIBAR HOYEE = ZANZIBAR OYEE Angeandika Mzazibar angeandika hivo
  6. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

    Upinzani tu ? Au ACT peke yao?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ufisadi mkubwa tena kwenye kampeni za CCM mwaka 2015

    Hayo yatakua hadharani ngoja bungeni labda muyakatae kama kawaida yenu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

    Jifunze kiswahili kwanza
  9. B

    JamiiForums Tanzania Maaskofu ndio wasaliti

    Sawa mkuu na akiona Ugiriki haelewi aingie Spain
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini naamini CCM inaanguka rasmi?

    Usijipe moyo kabisa ni vyema kuangalia kwa undani suala hili , ccm wana njama za aina tofauti kinyume na unavyowaza ni vyema ukaangalia historia ya ccm kwa upande wa Zanzibar ikitokea ishara ya kushindwa kwa aina yo yote ile kuna njama za kila aina ili wakae kwa nguvu madarakani , nahisi kuna...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Albert Msando sio raia wa Tanzania?

    Kwani Tz ilipata uhuru tarehe ngapi , kutoka koloni gani
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ni kabila gani linaloongoza kuwa na watu wabunifu, wagunduzi wa vitu na wenye akili

    Wapemba nadhani ndio wako mbele ndio wa waanzilishi wa biashara za kusafiri baadae wakawachukua waking na wachaga Na ndio wa mwanzo baada ya vyama vingi kuukataa katakata mfumo mbovu uliopo Na ndio watu pekee wanaovumili madhila ya ccm Na ndio pekee wenye msimamo pamoja na kubaguliwa Bara...
  13. B

    JamiiForums Tanzania TANESCO wapewe adhabu gani?

    Samahani mkuu Japan na China kuna TANESCO.. Anyway bora wasipewe adhabu , kwa nini tuanze na hao taasisi nyengine kama maji ,hospitali , elimu nk kuna madudu mengi nao tusiwape adhabu? Au umekua kama kipofu alieona jogoo akasema hajapata kuona mnyama mkubwa kama huyo?
Back
Top Bottom