TANESCO wapewe adhabu gani?

TANESCO wapewe adhabu gani?

kisumapai

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
544
Reaction score
219
Kama nchin japani umeme ulikatika saa moja na dakika ishirin meneja wa Tanesco akajiudhuru. pia nchin china umeme ulikatika masaa 8 meneja wa Tanesco akahukumiwa kunyongwa hadi kufa. je Tanzania unakatika hadi wiki tuwape adhabu gani hawa wahusika?
 
Sijakuelewa yani umeme ukatike Japan au China halafu adhabu apewe meneja wa Tanesco?
 
Samahani mkuu Japan na China kuna TANESCO..
Anyway bora wasipewe adhabu , kwa nini tuanze na hao taasisi nyengine kama maji ,hospitali , elimu nk kuna madudu mengi nao tusiwape adhabu? Au umekua kama kipofu alieona jogoo akasema hajapata kuona mnyama mkubwa kama huyo?
 
mie nimemuelewa ana maanisha meneja wa janesco na chinesco.
 
Kama nchin japani umeme ulikatika saa moja na dakika ishirin meneja wa Tanesco akajiudhuru. pia nchin china umeme ulikatika masaa 8 meneja wa Tanesco akahukumiwa kunyongwa hadi kufa. je Tanzania unakatika hadi wiki tuwape adhabu gani hawa wahusika?

Inategemea ni chanzo cha fault kuna makosa mengine yanakuwa nje ya uwezo wa meneja mf gari kugonga miundo mbinu na kuaribu,natural disasters kimbunga mafuriko kuaribu miundombinu lakini kama uzembe mf nguzo imeangakuka kutokana na ubovu hapo ni kufukuzwa kazi ndio adhabu inayomfaa.
 
Kama nchin japani umeme ulikatika saa moja na dakika ishirin meneja wa Tanesco akajiudhuru. pia nchin china umeme ulikatika masaa 8 meneja wa Tanesco akahukumiwa kunyongwa hadi kufa. je Tanzania unakatika hadi wiki tuwape adhabu gani hawa wahusika?

Wewe unasema umeme kukatika,karibu huku kwetu tena Darisalamu wilaya ya Kinondoni ambako ndiyo HQ ya TANESCO umeme ikifika jioni saa 12 hauwaki mpaka saa tano usiku,yaani mechi za kombe la dunia zile za saa moja hatuwezi kuziona na zile za saa nne usiku tunaziangalia kuanzia kipindi cha pili.Wewe mshukuru tu Mungu kwa kuwa issue ni kukatika huenda kesho wakarudisha
 
Huku kwetu ni ngumu maana hakuna aliyemsafi au mwenye dhamira dhabiti ya maendeleo ya watu.
 
Kama nchin japani umeme ulikatika saa moja na dakika ishirin meneja wa Tanesco akajiudhuru. pia nchin china umeme ulikatika masaa 8 meneja wa Tanesco akahukumiwa kunyongwa hadi kufa. je Tanzania unakatika hadi wiki tuwape adhabu gani hawa wahusika?

Hahahaa mtoa mada jiangalie uandishi wako. China na japan kuna tanesco?
 
Wewe unasema umeme kukatika,karibu huku kwetu tena Darisalamu wilaya ya Kinondoni ambako ndiyo HQ ya TANESCO umeme ikifika jioni saa 12 hauwaki mpaka saa tano usiku,yaani mechi za kombe la dunia zile za saa moja hatuwezi kuziona na zile za saa nne usiku tunaziangalia kuanzia kipindi cha pili.Wewe mshukuru tu Mungu kwa kuwa issue ni kukatika huenda kesho wakarudisha

umeona hee
 
Back
Top Bottom