Umezungumza vema Sana bro!!
Turudi kwenye dini zetu za asili na kipindi hicho majibu yalikuwa yanapatikana tunachinja ,,tunakwenda kuomba katika mti mkubwa,mlima ,mto ,vichaka na mvua zinanyesha ,,vita vinaisha n.k
Afrika turudi kwenye dini zetu tuachane na huu upumbavu wa ukristo na uislamu