Recent content by BATULUNGE

  1. BATULUNGE

    Mazda bongo inauzwa

    Gari bado nzima Sana ipo dsm Goba Ina engine f8 Cc 2790 Bei ni Mil 12 maongezi yapo 0656077998
  2. BATULUNGE

    Eneo kubwa la biashara linauzwa Goba

    Ipo hewani nafikiri shida itakuwa mtandao jaribu kupiga tena
  3. BATULUNGE

    Eneo kubwa la biashara linauzwa Goba

    Eneo linauzwa lipo Goba njia nne barabara ya kuelekea Madale lina faa sana kwa ajili ya kujenga sheli ya mafuta au Kujenga maduka makubwa. Eneo lina ukubwa wa sqm 4800 na ndani ya eneo kuna nyumba 1 imejengwa na fremu 2 za biashara Bei yake ni Tsh 500 mil Kwa mawasiliano zaidi piga 0656077998
  4. BATULUNGE

    Israel ilivyo angamiza uwezo wa Iran kutengeneza makombora

    Naona team west mnajitekenya na kucheka wenyewe, Iran ni mziki mnene na huyo israel bila marekani ukiondoa vita vya angani hata jeshi letu tunawakalisha vizuri kabisa, jeshi limejaa mashoga halafu wanajiita taifa teule
  5. BATULUNGE

    Nyumba inauzwa ipo Madale Kwa Kawawa

    Nyumba inauzwa ipo madale mil 70, Kwa Kawawa, Ipo umbali wa km 1 kutoka barabara lami, Kiwanja kina Sam 650 na kimeshawekwa bikoni, Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master na public toilet 1, sitting room1, dining room 1 na jiko 1 0656077998
  6. BATULUNGE

    Nyumba inauzwa Goba

    Haina kisima
  7. BATULUNGE

    Nyumba inauzwa Goba

    Nyumba ipo umbali wa km 1 kutokea Goba centre, ina kiwanja chenye ukubwa wa sqm 462, nyumba ina vyumba 3 vya kulala, sebule 1, dining jiko stoo na vyoo 2 0656077998 Inauzwa 90mil
  8. BATULUNGE

    Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Nahitaji diff ya Suzuki carry kile kijungu Cha katikati achana na tube housing, carry ya kawaida , shilingi ngapi?
  9. BATULUNGE

    Vigezo vya TRA kufanya makadirio ya juu zaidi ya gharama halisi za magari yanayoingizwa nchini

    Tra sijui wana matatizo gani kuna hizi gari kia Bongo CIF yake ni kati ya 3500-7000$ , ila wao kwenye system wanaonyesha CIF $15,000 na zaidi mpk nimechoka kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. BATULUNGE

    Ombi: Unapomtokea Mwanamke Mueleze Ukweli

    Mzigua.nilikuambia nataka nikuoe mm ukanizingua ona sasa.majanga hayo
  11. BATULUNGE

    Kiwanja kinauzwa Goba

    Kwa anayehitaji Kiwanja kipo Goba 20x20, kipo sehemu nzuri tambarale, pia kuna barabara inayopita hapo, bei ni Tsh 6mil tu , Kwa atakaye hitaji anicheki 0656077998/0625545496 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. BATULUNGE

    Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    Hahaaa sio pamchezo mchezo, ingawa nilimaliza bila sup ila mziki wake niliuona
  13. BATULUNGE

    Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

    Nimepiga hiyo course hapo mahali, unatakiwa ujipange sana kama umechaguliwa kwenda kujiunga pale
Back
Top Bottom