Recent content by Basiliser

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Masheikh; Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali rufaa ya Jamhuri kutaka mashtaka 14 yaliyofutwa Mahakama Kuu kurudishwa

    Haki isingepatikana. Waje hukuhuku tena nilitamani wapelekwe hata mahakama za marekani. Zenji udini ungefumbia macho hawa magaidi
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

    Wanataka wawe kama maarabu hawa wanayamwezi wa unyanyembe tu hawana jipya.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, hiki ni kiama cha ATM machine?

    Watu wa NWO conspiracies.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Biblia inasemaje kuhusu mwisho wa ulimwengu

    Maandiko yanasema..muyaonapo hayo mjue ule mwisho umekaribia..hivyo watakatifu endeleeni kujitakasa.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Biblia inasemaje kuhusu mwisho wa ulimwengu

    Maandiko yanasema..muyaonapo hayo mjue ule mwisho umekaribia..hivyo watakatifu endeleeni kujitakasa.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nimesoma Bsc. Family and Consumer Studies, natafuta nafasi ya kujitolea

    Kwanini kupata wafadhili ni ngumu.?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Baada ya kumaliza chuo...nikaenda kujitolea..katika ofisi fulani ya umma..nilipiga kazi kwa uaminifu na kwa kutafuta konekisheni..hivyo ndivyo nilivyofanikiwa.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je, wafanyakazi wategemee neema yoyote ama ndio zilongwa mbali zitendwa mbali?

    Hakuna kitu pale..zile ni porojo tu..JPM akili yake inawaza barabara,sgr,nyerere dam..na kuua upinzani na wote wanao mkosoa..kiufupi watumishi waendelee kukamuliwa..na kama alivyosema ataendelea kutumbua ole wao walete malalamiko..hapa kazi tu..
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wabunge msiogope kuikosoa serikali, Tukosoeni lakini ukosoaji wenu uwe na tija siyo ilimradi kukosoa tu!

    Hayo mapungufu mengi ndio yatakayo mfanya aonekane rais wa hovyo..na atakubukwa kwa wizi wa kura na uminywaji wa demkrasia na haki za kibinadamu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa mambo haya 10, mimi kama Mtumishi wa Umma (mwalimu), John Pombe Magufuli sikupi kura yangu asilani

    Ungeanza kwanza kwa kujibu hoja zake...km zina ukweli u la.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimepata Wazo la Kujiajiri kupitia afya, naombeni mnisaidie mawazo

    Nakishauri fungua private mochwali..utapiga pesa..hasa hapo mjini.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Badoo inafanyaje kazi?

    Uisahau kupiga kul kwa tundu lissu ili upate ukombozi wa kweli.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tuwe tu wakweli ndugu zangu, hivi Vitambulisho vya mjasiriamali hatujapigwa?

    Uzi kama huu wale masalia wa lumumba a.k.a wazee wa buku 7..ambao njaa zimewapanda kichwani hiweziona wakichangia.
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ombi maalum kwa Muhashamu Askofu Bangoza, PhD

    Hivi ni askofu wa kanisa gani..nataka nifanye uamzi mgumu.
Back
Top Bottom