Recent content by Bashraf

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe unapata wapi hoja ya kuwaita Mkapa na JK majipu na kuwaacha Sumaye na Lowassa?

    Mbowe kafaulu kwa kutazamia mtihani wa Slaa. Slaa hayupo kabaki kutafuta kiki tu huku hajui Chama kitamfia mkononi
  2. B

    JamiiForums Tanzania CUF Yatangaza Maandamano Makubwa Dar es Salaam

    Taarifa za kiteljensia ni kwamba watakanyaga samaki wa wavuvi wanaotoka feri hivyo kwa mujibu wa Mangu hayatakuwepo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Diaspora tumesahaulika Awamu hii ya 5

    Kazi kufuga mirasta tu. Tukupe uwaziri na rasta? Aaaah nyoa kwanza bana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ulaya wamgomea Magufuli

    Tuna mihela rundo wagome tu hatuna namna nyingine
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Magufuli kumbe huwa unapita huku!

    Namsomesha mimi
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Mawakala wa forodha wameitisha mkutano wa wanachama wao

    Na wewe unakampuni yako nini mbona povu mdomoni ka umemfumania kakaetu siku ya Valentin
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwaheri upinzani Tanzania

    Ni kweli yoote anayofanya yalikuwa yafanywe na upinzani ikiwemo bomoa bomoa na kurudia uchaguzi Zanzibar. Safi sana kapatia mpigieni makofi
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Serikali ya Magufuli na athari yake kwenye siasa za upinzani nchini

    Umenena kaka. Ni kazi ya kuchoma mahindi wakisubiri la kuwafanya waandamane
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete ahimiza vijana wa Mitandaoni wa CCM wakumbukwe na Rais Magufuli

    Katika list mmewasahau Chris Lukosi na FbUser
  10. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yasalimu amri kwa Bank binafsi, Akaunti zake kutohamishiwa BoT

    Uliletwa kwa barua ya msajili wa hazina iko wapi barua ya kusitisha? Au na wewe umeongeza jungu lako
  11. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yasalimu amri kwa Bank binafsi, Akaunti zake kutohamishiwa BoT

    Mbona sijaona hapo serikali imesalimu amri kivipi au post hii umeiandikia ukiwa Mirembe?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mimi ndiye niliyeanzisha msemo wa jipu kabla ya Rais Magufuli

    So what kama una majipu sisi ukakamue pale sinza hospitali ya wachina
  13. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa had his chance. CHADEMA itafute mgombea kijana mwenye mvuto 2020/25

    Kingunge anafaa 2020 kwa busara zake jukwaani zile za UNACHUKUWA, UNAWEKA, LUWASSAAA
Back
Top Bottom