gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Hii ni mada muhimu hasa kwenye serikali ya Dr. Magufuli ambayo kila kukicha inajidhihirisha kufanya vizuri tangu ilipoingia madarakani.
Nasema ni mada nzuri kwani tunajitaji upinzani imara ili tuweza tz iweze kusonga mbele.
Ni dhahiri kadiri siku zinavyo zidi kwenda mbele ukitizama kwa makini utagundua upinzani unadhohofika siku hadi siku.
Kwa sasa upinzani kama jumuia hausikiki na hata ukitizama kwa wapinzani mmoja mmoja inajidhihirisha kwamba kwa sasa wapinzani wamekua kwenye wakati mgumu kwani wanakosa hoja zukuwafanya watawale kwenye akili za watanzania.
Kwa mfano ukitizama bungeni mtu pekee kwa upande wa upinzani ambaye bado anaonesha kuvuta hisia kwa watz ni mh ZZK ambaye siasa zake si za matukio kama tulivyozoea kwa wanasiasa wengine kama kina Tundu Lissu, ZZK siasa zake zimejikita kwenye sera zaidi na ndio maana anaendelea kufanya vizuri kwenye siasa.
Kwenye serikali hii ya magufuli wapinzani wasipojikita kwenye sera wakaendelea kusubiri matukio watafutika kabisa kwenye ulingo wa siasa.
Kama wapinzani hawatabadilika uchaguzi wa 2020 utakua ni uchaguzi rahisi sana kwa chama tawala kwani mpaka sasa wamefanikiwa kwakiwango kikubwa kutatua kero za watz.