Rais wangu Magufuli kumbe huwa unapita huku!

Kistaaj

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
424
198
Habari wana jamvi!!

Hivi Mh Magu anasomaga na yeye Jamiiforums maana naona anatimiza mambo ya humu?
 
Priority kabla ya fly overs iwe kupanua gauge ya reli ya kati kwanza ili tuweze kusafirisha kwa urahisi mizigo kwenda/kutoka bara na nchi jirani; mapato ya kutoka huko yatatuwezesha kuwekeza sehemu nyingine!
Safi kabisa mkuu
Wazo zuro
 
Priority kabla ya fly overs iwe kupanua gauge ya reli ya kati kwanza ili tuweze kusafirisha kwa urahisi mizigo kwenda/kutoka bara na nchi jirani; mapato ya kutoka huko yatatuwezesha kuwekeza sehemu nyingine!
Wazo lako litafanyiwa kaz 2035, kwa sasa serikali iko bize kuhakikisha daraja LA coco pamoja Na flyovers zinakamilika kwa wajati Na kuifanya darisalama kuwa ktk hali nzuri
 
Tatizo lake anawaogopa wanasisa hebu leteni wenye kashfa kama atawagusa muoga huyo
 
Wazo lako litafanyiwa kaz 2035, kwa sasa serikali iko bize kuhakikisha daraja LA coco pamoja Na flyovers zinakamilika kwa wajati Na kuifanya darisalama kuwa ktk hali nzuri
Mi flyovera kwenye all major road junctions ni kila kiti kuliko hata hayo madaraja. Trafic jam imefikia kiwango cha kutisha hapa Dar?
 
Sio lazima apite humu kusikia matatizo ya watanzania, hizi kero zinazungumziwa sehemu zote nchini hata kwenye vijiwe vya kahawa. Kero zote zinajulikana na waathirika ni wote pamoja na yeye mwenyewe. Haitaji kuja humu ndio azijue.
 
Back
Top Bottom