Recent content by base10

  1. B

    Mnaotoa fedha kupitia NMB wakala kuweni makini

    Wenye elimu juu ya hizi mashine zao za wakala ni bora watujuze Kama mtu umeweka password mara 1 inawezekanaje miamala iwe mara 3? Au ukishaweka password tu unaweza kufanya miamala unayotaka?
  2. B

    Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

    Je unaweza kutumia leseni ya broker yenye jina la mtu mwengine kufanyia biashara?
  3. B

    Mrejesho biashara ya madini ya dhahabu second season

    Hongera sana mkuu Umenipa moyo juu ya hii biashara Naomba mtupe maelezo kuhusu hizi leseni kwa anejua Mwaka 2016 wakati nafatilia habar za madini nilijua kwamba leseni zinatolewa kikanda ambayo inahusisha mkoa zaid ya mmoja mfano dar,moro,tanga na pwani Juzi nilienda ofisi za madini dar kutaka...
  4. B

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nashukuru sana kiongozi. Nimepata mwangaza.
  5. B

    Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habar za mchana. Naomba kuuliza je mtu anaefanya biashara ya kununua madini kwa wachimbaji wadogo ambao hawana risit au kufanya biashara ya kuchimba madini kisha ukauza kwa madalali au soko kuu je mtu kama huyu analipaje kodi ukiangalia anapochimba au kununua hapati risit? Shukran
  6. B

  7. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo shinyanga ushetu nije 1) Dar wilaya zote 2)Pwani (Mkuranga,Kibaha,Bagamoyo), 3)Tanga jiji,Muheza na Pangani. 4)Morogoro (Manispaa,Kilosa na Mvomero) 5)Dodoma manispaa,Chamwino idara msingi 0782707090
  8. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo SHINYANGA aje 1)Dar es salaam 2)PWANI 3)TANGA 4)MORO Idara: msingi Phone no: 0656199429 / 0782707090
  9. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo SHINYANGA nije 1)Dar es salaam 2)BAGAMOYO 3)PWANI 4)TANGA 5)MORO Idara: msingi Phone no: 0656199429 / 0782707090
  10. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Natafuta mwalimu wa kuja Ushetu- SHINYANGA mimi nije 1)Dar es salaam 2)BAGAMOYO 3)PWANI 4)TANGA 5)Moro MJINI Idara: msingi Phone no: 0656199429 / 0782707090
  11. B

    Je, Tanzania zipo Boards za Architecture?

    Home Architects and Quantity Surveyors Registration Board
  12. B

    Kwa uzalishaji na masoko ya biashara za madini, njoo hapa uliza chochote

    Mkuu me naomba kujua hivi hii broker license moja inaweza kutumiwa na watu wangapi au kubeba majina mangapi?...maana kuna jamaa ameniambia yeye alichukua moja akasajili jina lake na mke wake na akasema ina chukua hata majina matatu. Au hiyo ilikuwa ni system ya zaman?
  13. B

    OSHA -Electrical Inspector II

    Naona hujiamini au unaona utapata mshahara mdogo zaid ya unaopata sasa hivi.? Nenda utajua huko huko..
Back
Top Bottom