Najiuliza tu Ngara unayosema ni hii ambayo ipo Kagera au n Ngaramtoni iliyko ...... sihitaji majibu kwa sasa
willy asante kwa ngonjera zako za uongo naamin hyo ni moja ya njia za kuwafariji mabosi wako labda na wewe umege japo kidogo pesa za ruzuku na michango ya wanachama
kwanini useme uongo...
Nilijaribu kujibu kadri ya ufahamu wangu mimi n mwananchi wa kawaida
Hivi mpuuzi n mtu anaeshuhudia asichokijua au yule anejaribu kuweka usawa ili suala liangaliwa kwa mapana yake
Nicholas jitazame sana sio kila mtu ana akili au busara finyu kam zako nimgekuona wa maana kama ungehitaji kujua...
Jaman kabla ya kulaumu tuwe tunajaribu kuchunguza pande zote mimi kwetu ni Ngara na huyo jamaa anaelalamika namfahamu sana
Anaitwa Ameer Rashid ni mtu ambae mimi naweza sema kama hajitumbui kama umemuangalia kwa makini anaonekana ni mzee sana lakini hwez amin kama hata miaka 40 hana(bangi na...
kwa matusi hayo napata shaka kamanda utawafundisha nini wadogo zetu wanaoipenda CDM kwa ninavyofaham wanangara ni wastaarabu sana napata mashaka na asili yako. HIVI BILA MATUSI HUWEZI KUELEWEKA?
ndugu yangu sasa nimeona hoja na maelezo yanayotakiwa kutolewa na mtu anaejitambua kaka mimi kwa kias fulani nazifahamu siasa za Ngara kwa kweli pale upinzani bado sana,,, nilichofanya sio kunadi mtu nilitaka maoni ya mpiga kura mwenzangu anamfahamu vipi mmoja wa watu tunaohisi watagombea hilo...
Chiku nimependa neno lako la mwisho, limenifanya nikutambue wewe ni mtu wa aina gani, huyo ninaemuuliza tunatoka jimbo moja ninachotaka kujua ni maoni yake kuhusu huyo jamaa, kwangu kura yangu ni ya thamani sana siwezi kukupa eti kwa sababu umetoka chama fulani. Wapo baadhi wabunge wa ccm & cdm...
mimi sio mwanachama wa CCM ila nalaan na kupinga wanaomuita Dkt Bujari kada wa CCM. na ntaweka sababu
1) huyu jamaa ameanza kufahamika kwenye siasa za Ngara baada ya kutangaza nia ya kugombea ubunge hiyo inaleta picha kwamba alichofuata CCCM ni UBUNGE tu nashukuru watu wa Ngara tulimuelewa
2)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.