Tanzania yazamani, ile ilokosa thamani
Twaamlilia Fulani, eti bora yake asilani
Ujinga watuzonga pomoni, umezizidi homoni,
Bora Leo duniani, twasema ufisadi buriani,
Nitaanza upya tena, kulijenga tena hema
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia...