Recent content by BARON99

  1. BARON99

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

    Haiondoi ukweli kwamba Ana Ego kubwa sana huyu jamaa na ndio stambling block ya timu. Astaafu tu kwa sasa inatosha!
  2. BARON99

    JamiiForums Tanzania Je, Putin alipiga mahesabu yake vibaya?

    Putin alikosea sehemu moja tu. Siku za kwanza wakati anatawala anga la Ukraine ndio alitakiwa amalize Hii vita chap, aka misuse the opportunity NA ndo ikawa historia hadi sasa.
  3. BARON99

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kutengeneza Misumari

    All the best mkuu, hope utafanikiwa
  4. BARON99

    JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aondoka kwenye kambi ya timu ya taifa ya Ureno

    He better left the soldiers fight with their calmness without stupid pressure from a man who always puts his ego before anything else. Hivi kila kitu ni kumridhirisha tu Ronaldo basi asiporidhika tu Kosa duh. I'm asking if the team wouldn't win the match against Norway would he mind that much...
  5. BARON99

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    R. I. P mr Wicknel. Everything has an end!!!
  6. BARON99

    JamiiForums Tanzania Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

    Yeah kabisa ila to be honest nilifanya kwa sababu ya influence ya dem mwenyewe ila si kwa kupenda kwangu na kingine pia kilichonishawishi ni yey kunyonya rungu nikaona Sasa mimi nikikataa nitaonekana sioo😁
  7. BARON99

    JamiiForums Tanzania Chumvini litakuwa jambo langu la mwisho kufanya hapa duniani

    Hiki kitu nilifanya lkn wala sikuona faida yake zaidi ya test ya chumvi chumvi nyingiiii
  8. BARON99

    JamiiForums Tanzania Ofisa wa TRA aliyepambana na Baba Levo apandishwe cheo

    Miscommunication tu imetokea hapo wala hamna jipya wote wapigaji tupu
  9. BARON99

    JamiiForums Tanzania Je, Makonda ndo Kaelekeza BASATA Wamfungie God? (Dudubaya kisa maneno yake kwenye Stage?

    Hovyo sana hili jamaa
  10. BARON99

    JamiiForums Tanzania Hongera Sisimizi shujaa kuwafyatisha mkia"The Big Five".

    Hahaha The Savage Kingdom. Wild beasts will never be secure
  11. BARON99

    JamiiForums Tanzania Mteja wa nondo bei nzuri

    Sasa mkuu unge weka kila kitu open hyo 11M inapungua mpk ngapi M mtu aone offer ina attract au vipi
  12. BARON99

    JamiiForums Tanzania Jaji Ndunguru: Summons zitolewe kwa DCI, CDF na IGP waje kutoa ushahidi upande wa utetezi

    Mbn DGIS wamemwacha?
  13. BARON99

    JamiiForums Tanzania CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    Kuna haja kuwa na kipengele kwenye katiba kulazimisha mahakama kutenda majukumu yake kwa uhuru ikiwemo kurushwa kesi kubwa kama hizi Live kwa ajili ya manufaa ya Wananchi mbona nchi zingine Iko hivyo, kwanini kwetu iwe tofauti?
Back
Top Bottom