Iran inawezaje kufanya haya

Iran inawezaje kufanya haya

Fungua akili yako,akili yako yako isifungwe na udini.mimi ni mkristo ilq katika mizozo yote natumia logic wala sio udini.
Kwa akili yako unadhani marekani anapigana dhidi ya dini ya islam?
hao israel wenyewe hawamtambui kristo,watu wanapigana kwa maslahi ya mataifa yao na vizazi vyao,wewe mmatumbi unaingizia dini.
Mnashabikia sana russia unajua majority ya russia ni makafiri kulingana na vitabu vyenu?
Utasikia pia wakinasibisha na Wachina wakati Wachina nao ni makafiri wakubwa.
 
Nimekuwa nikiona kila mahala huko mtandaoni, watu wanauliza kwa kebehi, eti kwanini Iran anashambulia nchi karibia zote hapo Mashariki ya kati, lakini hashambulii Israel!?

Hili ndio swali linalotrend huko mitandaoni kwasasa, lakini wote wanaouliza hili swali ni watu wanaofanana kwenye jambo fulani hivi.

Anyways, tuachane na hii.
Mpaka saa hii nimetoka huko mtandaoni, nimekutana na habari za Iran kushambulia Bahrain na Kuwait na kuua askari kadhaa wa Marekani, hii habari inazunguka sana huko mtandaoni saa hii.

Lakini pia, jana nilisoma mahali nilikutana na habari kuwa Pakistan ametishia kuwa endapo Iran itaishambulia Saudi Arabia, basi itakuwa ni sawa wameishambulia Pakistan.

Ajabu usiku wa kuamkia leo Iran imepiga kituo cha kijeshi cha Marekani kilichopo Saudi Arabia, sijui itakuaje sasa?

Kuwait nao visima vyao vya maji safi vimepigwa na kituo cha kuzalisha umeme kimepigwa pia.

Nakuja kwenye swali langu sasa.
Hawa Iran, wanawezaje kupambana na USA na wakati huo huo kupiga kambi za kijeshi za marekani zilizopo katika nchi za Kiarabu? Hawa jamaa wameishi katika vikwazo kwa takribani miaka zaidi ya 40, wanawezaje kupambana na USA!?

Hapohapo mashabiki wanataka akiwa anapambana na USA aingie ulingoni kupambana na Israel pia, jamani hii Iran mbona kama mnaikuza sana?

Yaani mnaona kupigana na Marekani haitoshi, inatakiwa apigane na Israel kwa wakati huohuo, anawezaje sasa!?

Bila kusahau, Strait of Hormuz haipitiki.

Trump anasema ipo wazi, lakini meli zikikatisha zinapigwa kiberiti na Waajemi.

Trump amepereka meli zake za kijeshi kulinda meli zinazokatisha hapo, lakini bado Iran wanaweza kuzishambulia meli zinazokatisha hapo bila ruhusa ya Jeshi la Iran.

Inashangaza sana.

Hawa Iran wanawezaje kufanya haya yote!?
Mbona kama kuna kiini macho hivi!


View attachment 3631803
Msemaji wa upande wa pili secretarybird unalisemeaje hili?
 
Wewe unashangaa kambi haziishi, mimi mwenzio nashangaa na kujiuliza hawa Wairan haya mabomu wanayatoa wapi?
Missile launchers wanaziokota wapi!?

Maana Trump alishalipua kambi zao zote na jeshi lote alishalimaliza.
Pia wana sayansi, viongozi l, wanajeshi na wataalamu wengi wameuawa lakini jamaa bado wanafanya mambo yao
 
Fungua akili yako,akili yako yako isifungwe na udini.mimi ni mkristo ilq katika mizozo yote natumia logic wala sio udini.
Kwa akili yako unadhani marekani anapigana dhidi ya dini ya islam?
hao israel wenyewe hawamtambui kristo,watu wanapigana kwa maslahi ya mataifa yao na vizazi vyao,wewe mmatumbi unaingizia dini.
Mnashabikia sana russia unajua majority ya russia ni makafiri kulingana na vitabu vyenu?

Mimi sikumjibu Marekani nimemjibu yule mmatumbi kama ww kashindwa kutumia vizuri kichwa chake na kuwaita Magaidi wenye kujitetea badala ya wale Wavamizi!!!

Upovu wake kujua nani mwenye
haki
Niwazi umetokana na Uzwazwa wa Ulokole wake✍️

Duniani sote tunajua ni Marekani na Israel kwa pamoja ndio wamemvamia Iranian👈

Iweje mwenye kujitetea tumwite Gaidi❗️ niwazi kazwonga na pepo chafu la Ulokole✍️
 
Ugaidi wao ni upi? Kama ni kufadhili Hebzollah na Hamas hata Israel/US ilifadhili Al qaeda wa Syria (HTS) hadi kumsaidia kuwa Rais wa Syria au huo sio ugaidi?

Vikisaidiwa na Israel vinaitwa vyama vya ukombozi ila wakisaidiwa na Iran inageuka magaidi!!!
Hahaha aliyebuni propaganda ana laana alaanike huko alipo

Yaani propaganda zimeweza kuwafanya watu kuwa Misukule
 
Onesha ushabiki wangu ulipo!

Iran hapigani na jeshi la Marekani?
Iran hajashambulia kambi za Jeshi la Marekani hapo middle east!?
Iran haijawa na vikwazo miaka zaidi ya 40?
Iran haijafanya Strait of Hormuz kutopitika!?

Huko ulipo bei ya mafuta (diesel/petrol) ipoje!?
Unajua ni nani anasababisha ununue mafuta hiyo bei unayonunua sasa!?

Kama hauna hoja, tulia.
Mnase kibao 😁
 
Uko sahihi
Kwa kukazia tuu, wabongo wengi imani za kidini zimewafanya wamekuwa wajinga, ndo maana wengine wanatapeliwa kwa kutajiwa neno dini au Mungu
Vita ni uchumi, watu au mataifa yanaingia vitani kwa ajili ya maslahi yao ya kiuchumi, ila huku kwenye walevi wa kidini wao chapchap wanahusisha na dini
Ujinga sana mitanzania mifala sana
 
Tangu vita ianze February Iran anadai kushambulia na kuangamiza hizo kambi kila siku mpaka unajiuliza Marekani ana maelfu ya makambi mangapi kwenye hizo nchi.
Hii comment Yako mbona Iko vice versa!? 😁😁😁

Maana Trump ndiye Huwa anasema Iran wameishiwa lakini tunacho kiona na kukisikia it's different
 
Comments nyingi imekaa kidini zaidi, ni Christians vs Islam's, kwani wahindu, budha na Pagani wanasemaje kwenye hili?
 
Wewe unashangaa kambi haziishi, mimi mwenzio nashangaa na kujiuliza hawa Wairan haya mabomu wanayatoa wapi?
Missile launchers wanaziokota wapi!?

Maana Trump alishalipua kambi zao zote na jeshi lote alishalimaliza.
😁😁😁 Jamaa wana hoji upande mmoja eti kambi haziishi

Mbona hawashangai Huyo Iran nguvu Yao ya kijeshi haiishi tu licha ya kupigana na Nchi zaidi ya Moja

Ila binaadamu kweli wabinafsi Sana

Yaani binaadamu yupo Tayari kutetea upande Anao upenda hata kama anaona Kuna udhaifu Katka upande huo
 
Back
Top Bottom