Kilichokuwa kinasubiriwa ni kustabilize uchumi kwanza kabla ya kuongeza kiwango cha mshahara ili hata kidogo kilichopo kiwe na maana kwanza kabla ya kuongezewa
Think positively.....kusema watumishi sio wazalishaji....unadhan nan anabuni kodi na kuongeza pamoja na kukusanya mapato ya serikali..
Nani anabuni vyanzo vya mapato na kusimamia sheria....
Watumishi wa umma wana mchango mkubwa sana katika Taifa hili
Hati ya Nyumba haitolewi katika maeneo ambayo hayajapimwa!!!!
Kinachotolewa katika maeneo kama hayo ni leseni za makazi(residential licence)
Pia kama eneo lipo ndani ya Mji shauriana na majirani zako ili mpimiwe kupitia upimaji shirikishi gharama inashuka kidogo....
Kwanza kuna aina mbili za hati..
1.hati ya kawaida
2.hati ya kimila
Hati ya kawaida inatolewa katika eneo ambalo lina mchoro Wa mipangomiji..na limepimwa na kupatiwa namba za viwanja....
Kwa mujibu Wa sheria za ardhi mwenye mamlaka ya umilikishaji ni afisa ardhi Mteule.....
Utaratibu ni...
Haina budi kutangaza maajabu kama haya....
Maana kutokana na uharibifu wa Misitu ni ngumu sana kwa nyakati za sasa kupata miti mirefu kama hayo...Hongera kwa waliohusika kuhifadhi...
Nawatakia weekend njema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.