Kwanini Serikali hairekebishii mishahara watumishi waliopandishwa madaraja toka 2015/16 kisha Aprili 2018?

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
WAZIRI wa Utumishi hebu waambie Watanzania sababu zinazoifanya Serikali yetu ishindwe kuwarekebishia mishahara WATUMISHI waliopandishwa MADARAJA mwaka2015/16 baadae ikarekebisha barua za na kuwa Novemba2017 kisha imesema ni April 2018.
 
Hata ukiongezewa Mshahara uwe unavyotaka Wewe lakini kama huna akili na nidhamu ya Kuutumia na Kujipanga Kimaisha bado utakuwa ' Masikini / Kapuku ' mpaka Kustaafu Kwako.
 
SGR ikikamilika watawafikiria
 
Hata ukiongezewa Mshahara uwe unavyotaka Wewe lakini kama huna akili na nidhamu ya Kuutumia na Kujipanga Kimaisha bado utakuwa ' Masikini / Kapuku ' mpaka Kustaafu Kwako.
Jielekeze kwenye hoja ambayo ni nyongeza na sio namna ya matumizi ambayo kimsingi ni suala la mwenye nao! Kimbelembele tu kinakusumbua!
Ni sahihi wahusika wajibu juu ya hili kwani halina tofauti na uporaji! Fatuma Karume anza na hili la kuvuruga sheria ya utumishi ili kuwaweka sawa hao mawakili na majaji wapya sawa! Wanangu wanataabika sana psychologically kwa barua za kupanda 2016 kisha kusitishwa kwa ukaguzi na uhakiki!
 
WAZIRI wa Utumishi hebu waambie Watanzania sababu zinazoifanya Serikali yetu ishindwe kuwarekebishia mishahara WATUMISHI waliopandishwa MADARAJA mwaka2015/16 baadae ikarekebisha barua za na kuwa Novemba2017 kisha imesema ni April 2018.

Je wale waliopelekwa msingi hadhi yao inaangukiwa wapi?
 
Bwana na mkubwa hana Hela angelikuwa nazo angetuongeza watumishi,ila watakaoumia ni watanzania tunaowahudumia japo nao hawajitambui bado.
 
Serikali ina kazi muhimu zaidi.

Kununua ndege kwa cash bila kufuata taratibu za manunuzi.
Kujenga Interational Airport Chato bila tender stability.
Kujenga Hospital kubwa ya rufaa Chato bila tender stability.
Kujenga reli SGR kwenda kanda ya ziwa.

Mambo madogo ya maslahi ya watumishi was umma sio kipaumbele. Asiyetaka kazi akalime.
 
Gentamycine acha kukurupuka mkuu soma thread sio unachangia pumba matumizi yanakuhusu nini wewe
 
WAZIRI wa Utumishi hebu waambie Watanzania sababu zinazoifanya Serikali yetu ishindwe kuwarekebishia mishahara WATUMISHI waliopandishwa MADARAJA mwaka2015/16 baadae ikarekebisha barua za na kuwa Novemba2017 kisha imesema ni April 2018.
Bado tunanunua wapinzani tukimaliza titarekebisha
 
Kilichokuwa kinasubiriwa ni kustabilize uchumi kwanza kabla ya kuongeza kiwango cha mshahara ili hata kidogo kilichopo kiwe na maana kwanza kabla ya kuongezewa
 
Jamaa anadharau sana watumishi wa umma! Awamu hii hata vyama vya wafanyakazi havitetei wanachama wake juu ya maslahi yao!
 
Hata ukiongezewa Mshahara uwe unavyotaka Wewe lakini kama huna akili na nidhamu ya Kuutumia na Kujipanga Kimaisha bado utakuwa ' Masikini / Kapuku ' mpaka Kustaafu Kwako.
Pesa yake matumizi ,usimpangie cha kutumia pesa aliyotafuta mtu.Tafuta ya kwako ww mwenye akili,nidhamu ya kutumia.
 
Jamaa anadharau sana watumishi wa umma! Awamu hii hata vyama vya wafanyakazi havitetei wanachama wake juu ya maslahi yao!
1.5 trilion
IMG_20180418_083243.jpg
IMG_20180417_195211.jpg
 
Jiongezee mshahara utafurahi.
Hamna sekta ya umma ambayo ukichanganya akili utakosa kujiongezea marupurupu.
Note: Ukipata matatizo kwenye harakati za ujasiriamali huu halali mimi simo.
 
Back
Top Bottom