Mzalendowavita
Member
- May 13, 2017
- 96
- 36
Nimejenga nyumba katika eneo ambalo halijapimwa na serikali, je naweza pata hati ya nyumba
Naipata wapi hiyo sera ya lukuvi ndugu maana hata me mdogo mdogo soon ntamaliza mjengo ila nina vibali vya serikali ya mtaa tu na kitambulisho cha umiliki WA eneo ambacho kinatunza kumbukumbu za wamiliki makazi na viwanja eneo husika.soma sera ya waziri Lukuvi vizuri kisha nijibu kama huo uwanja umeununua mbele ya serikali ya mtaa au umerithi