Recent content by Barakaeli174

  1. B

    Fundi wa dish la tv aliyeko korogwe

    Naomba anayemfahamu fundi wa kufunga dish la TV ambaye yuko korogwe mjini anisaidie anipigie au sms au anibip 0766112752.
  2. B

    NAFANYA COLLECTION YA STEMPU

    Wana Jf, Nafanya collection ya stempu za posta na za TRA, stempu hizo nahitaji picha zilizopo kama za ndege, wanyama... nazikusanya kwa ajili ya kumbu kumbu, stempu hizo lazima ziwe za kuanzia miaka ya 1965-1998 isizidi miaka iyo na inaweza ikawa ya kabla ya 1965. ukinipa stempu 3 za miaka...
  3. B

    Mizinga kuelekea sikukuu ya Eid....

    Acheni kelele ni wajibu wa mwanaume kuonyesha kuwa inapofika sikukuu lazima awe responsible mnakimbia nini, ndo maana huwa mnadharauliwa halafu mnahisi hampendwi, show off
  4. B

    Hekima ya serikali katika kukusanya pesa za Road Licence kwenye mafuta

    Wana JF nimegundua kuwa serikali ilishtuka kuwa sio rahisi TRA kukusanya Road Licence kwenye magari yote yaliomo nchini maana wengine ni wadaiwa sugu na wakwepaji wa miaka hivyo kuamua kuiingiza kwenye mafuta, hii ina siri kubwa sana ambayo lazima tufikirie swala hili na tujiulize, endapo...
  5. B

    Nipo Arusha kikazi,wapi napata nyama pori halali,mbichi au iliyopikwa ??

    Nenda clock towers kuna maduka yapo barabara Ya kwenda ATC au Precison Air au Crdb ulizia hapo watakuelekeza
  6. B

    Anayehitaji mkopo wa sh 500,000 kushuka chini anione

    Wana jf, Nataka nihudumie wenye dharura anayehitaji sh. 50,000 hadi sh 500,000 a pm, mkopo huu utauridisha ndani ya wiki 12 kwa riba ya 6% ila dhamana iwe na thamani ya kitu mara 4 ya mkopo Karibuni
  7. B

    Kashfa Mchanga wa madini; wafuatao nao wachunguzwe

    Wana JF, Hakuna maamuzi ambayo Waziri wa Nishati na Madini alikuwa anayachukua mwenyewe bila ya kuambiwa afanye au kusukunwa afanye hivyo, hili ni doa kwake kwa wale ambao wameajiriwa na private sector wanajua uchungu wa kuachishwa kazi kwa tuhuma, ni doa na hatapata uwaziri wala kazi ya maana...
  8. B

    Jenister Muhagama kutumia fedha zaidi ya alizopangiwa na bunge kwanini hajashugulikiwa

    Wana Jf, Ofisi ya waziri Mh Janister Mhagama imetumia zaidi ya 200% kwenye budget bila ya kuiomba bunge imuhidhinishie, je kamati za bunge zina walenga watu flani kwa kuwaita kwa mahojiano kwa kuidharau mhimili au ni swala la kubebana au kamati hizo hazina meno kwa chama tawala. Swala hili na...
  9. B

    Serikali imebanwa hadi kuhamasisha wananchi kuchangia maendeleo yao

    Wana jf sikatai serikali kuhamasisha wananchi kuchangia maendeleo yao katika sekta tajwa, ila naona kama habari inayohusu ukusanyaji mapato na kupita kiwango si sahihi maana serikali ni kama inahitaji wananchi kuchangia kwa sehem kubwa, au kutategeshewa ajali ili zipatikane pesa za rambirambi...
  10. B

    Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Passport inapoisha muda wake, au ukipoteza pasaport alama za vidole ni lazima zichukuliwe kila uendapo kuomba mpya, ku renew au kutaka upewe nyingine baada ya kupoteza, huu ni utaratibu wa serikali haukwepeki hadi hapo watakapo ona kuna haja ya kusitisha kuchukuliwa alama za vidole, hatuna...
  11. B

    Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

    Nimeipata kwa aliyekuta jinanlake jituoni na kweli hana cheti aliniomba nimuombee maana hana la kufanya ss hivi na hajui itakuwaje
  12. B

    Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

    Usipodai chako shauri yako labda mdaiwa hayumo kwenye list itakuwa bahati yako
  13. B

    Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

    Crosschek na kituo kilicho karibu yako
Back
Top Bottom