Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Wana Jf, Ofisi ya waziri Mh Janister Mhagama imetumia zaidi ya 200% kwenye budget bila ya kuiomba bunge imuhidhinishie, je kamati za bunge zina walenga watu flani kwa kuwaita kwa mahojiano kwa kuidharau mhimili au ni swala la kubebana au kamati hizo hazina meno kwa chama tawala.
Swala hili na mengine ambayo yanaonekana yakifanyika kama pendeleo zitawapa wabunge wa chama tawala muda mgumu sana kupita katika majimbo yao waliangalie sana maana ndio maneno yatakayo tumika kwenye kampeni kuwaangusha. Sababu ni moja ataambiwa alichukua fedha zote za maendeleo yenu kama kuimarisha maji na afya akazitumia yeye mana kuna wizata zilikosa fedha kwa kiasi flan ili ziweze kuwafikia wananchi, isitoshe kutetea upande mmoja dhaifu na kulazimisha iwe kama wanavyo taka ni hatari sana kwa chama, hivyi matukio yote na maneno yana rekodiwa.
Mfano mwingine ni kama matamshi ya mkulu magu ambaye alikuwa anayatoa na badae kuonekana anayakiuka anasahau kuwa aliyapinga, mfano kukataa kuwaingiza wapinzani katika wizara ni ubaguzi wa kipekee pamoja na kuwa sio lazima lakini kwann ayatamke hadharani je atatubu wapi dhambi ya ubaguzi je itakuwa mbele za Mungu kimya kimya au kwa wananchi kwenye kampeni, pili kusema anawatumia watanzania wote wakiwemo wapinzani huku akionyesha wazi ubaguzi, tatu alisema anawatumikia wanyonge na anataka wasaidiwe wakati analenga rambirambi za wanyonge na kuziingiza kwenye miradi ya maendeleo ya serikali iyo ni haki ya mtu hailiwi, tena mfano kuwaonya wana chama wa chama tawala kuto shirikiana wapinzani hili ni swala la kibaguzi linaonyesha kuwa ukiwa mpinzani ni adui je hii ni sawa, aliapa kwa biblia kuwa atailinda katiba maana hairuhusu maswala ya kibaguzi.
Mengi yamerekodiwa na yataletwa kwenye uchaguzi watanzania wa siku hizi sio wasahaulifu, Mwenge unajaribu kuzunguka mikoa na vijiji kupuliza moshi ili watanzania wauvute ule moshi na uwafanye waendelee kuwa ma mbumbumbu na wasahaulifu lahasha kuna watu wana sali sana hili haliwanasi.
Lazima waangalie sana na wajue kuna safari nyingine ambayo itawawajibisha kwa matendo na maneno yao hakutakuwa na wakulaumu.