Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Hakika Magu ni shida,
List za polisi wenye vyeti feki zimeanza kutumwa vituoni, mkoani Kilimanjaro list zimeshawasili na vituo vimeshaanza kupokea orodha hizo angalieni kwa wakuu wa vituo vya polisi maeneo mlipo sasa hapa sijui watafanyaje maana, walipokuwa wana hakiki wengine walisema viko mbali vijijini sasa leo list imekuja wameandikiwa hawana na kuombwa waviwasilishe kama imekosewa kuandika kuwa hawana, huu ndio ule mziki tuliokuwa tunausubiria, walioomba kuhakiki hawakujua kuwa kuambiwa viko vijijini maana yake havipo sasa imekuwa kazi kweli, hadi sasa kuna mmoja namfahamu hayupo ana wiki amepotea sasa huenda alipata fununu kuwa kihama kinakuja sijui atafanyaje, kama kuna wanao ongoza kwa mikopo ni hawa ndugu zetu, haya mikopo italipwaje sasa, nyumba zitauzwa au dah Mungu wasaidie.