Jamaa ni mpambanaji kwahilo nampongeza sio kumuogopa anasifa zake nzuri nyingi haswa kupitia post zake..Ushauri wangu kwake ni kujitahidi kuwa mwema zaidi .ushahidi upo wa kutosha nimeuhifadhi kwenye cloud storage.
Ilikuwa miezi miwili kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025,ndugu mwana JF a.k.a anajiita "mtib...." alipost atatoa huduma ya kuuza vitabu alivyoviandika,nilimpa pesa anitumie hiko kitabu.Dah.! Chenga zikawa nyingi akagoma kurefund, kila niangaliapo post zake zinatonesha kidonda cha elfu 15 yangu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.