Recent content by Baraka Mnyone

  1. B

    Uamuzi wa huyu binti naupa heko!

    labda nimuulize mtoa mada TZ kuna mwanafunzi anamaliza kidato cha nne na miaka 24/26 kwenye mfumo wakawaida au?hivyo vitu vipo sana na ni ushetani wa mtu binafsi toka enzi za sodoma na gomora. tunatakiwa kumwogopa Muumba!dah inauma sana.
  2. B

    Madiwani wapendekeza kuigawa Mbeya

    labda nikulize zanzibar ni mkoa au nchi?
  3. B

    Madiwani wapendekeza kuigawa Mbeya

    naomba nikusahihishe kuwa mkoa wa tabora ndo mkubwa kuliko yote kwa sasa mkuu.
  4. B

    Amana Benki ya Kiislamu yaanzishwa Tanzania

    Hiyo kiyu inawezakana tena sana mdau maana bank charges zingine zinakuwepo except riba kwa mikopo,kizuri ni kuwa sheria na taratibu nyingine za kibank zinafuatwa!
  5. B

    Mishahara ya Wabunge TZ, KE na UG

    Hao ndo wale ambao hata haki za mashoga wanazitaka kwssbu UK imeendelea!achana na ug n ke angalia situ ya tz na matatizo yetu then ndo uandike huo mlingano wako....sio lazima kila ktu tuige vingine waige kwetu wanajamvii.
  6. B

    Vasectomy imeniponza: Mke wangu ana mimba ya wajanja, nifanyeje!

    Taratibu!angalia tuu usije jiua/ua,chakufanya ni kukaa kupima watoto wote halafu unakaa naye unamuuliza taratibu uone maono yake kwa alilotenda mwisho itakuwa rahisi kuamua umwache au ubebe zigo lako,kuacha sio soln ila pia kuishi naye inataka roho ya chuma au imani na yeye ajitambue....kazi...
  7. B

    Nimependwa na jimama nifanyeje?na kuna tetesi kuwa mme wake alikufa kwa ugonjwa wa ukimwi

    Wewe mtu mzimz tena msomi wa Chuo Kikuu hatutegemei kama hujui wat next ukitembea na huyo mama....achana haye piga skul young boob isje ikala kwako banah
  8. B

    Hii nimeshindwa kabisa, nipeni maujanja!!!!

    Bro nafikiri kaa naye chini kwambie kilicho moyoni kama haridhiki bc bora na iwe mbaya banah issue zingine hata kama ni ndoa sio.
  9. B

    14 Surprising Facts about Marriage, Affairs & Divorce

    Kazi tunayo kama hilo nalo ni la kweli bt imani inatakiwa.
  10. B

    Je, ulikutana na mpenzi/mke wako wapi?

    Kwa soko la pamba ms...
  11. B

    Tra updates

    kaka kwa kawaida tra wanachelewa kidogo kuita watu kazini kwa hiyo kuwa mpole mambo bado.
  12. B

    Kazi za NSSF vipi wadau?

    Ivi jamani kuna mtu anafahamu kuhusu ishsu ya kazi za nssf au kuitwa kwa usaili?
Back
Top Bottom