Je, ulikutana na mpenzi/mke wako wapi?

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Watu wengi hasa vijana walioko mashuleni na vyuoni wamekuwa na matarajio mengi yaliyo finyu ktk mahusiano wengine wakidhani kwamba akimaliza masoma bila kuwa na mke aliyesoma nae anajiona amepotea/kachelewa.
Je, wewe mwana jf ulikutana na mke/mpenzi wako wapi na ilikuwajd?
 
Kwenye choo cha kulipia.
 
katika business zake, nilikuwa mteja wake! He is an archtect hivyo nilienda kuchora ramani jamaa akanifia nami nikaoza.... mambo yakaanza!
 
Duh...! Nimeipenda hii safi sana nawatakia maisha mema.
 
Back
Top Bottom