Hii nimeshindwa kabisa, nipeni maujanja!!!!

Mkuu hayo mambo ni ya kawaida sana, mimi mwanzoni nilikuwa naona noma sana ila now nimeshazoea. Halafu mke wangu akiwa na stori za umbea (Udaku) mara nyingi ananiambia nikiwa nakun***
 
Au anadhani unaacha gogo nyumba ndogo? Ana wivu uyo hadi na kinyesi chako?
 
Kukata GoGo mbele ya mke wangu.

Wife wangu hana shida kabisa anaweza kukata GoGo mbele yangu, Labda mi nipo bafuni au napiga mswaki yeye hana shida anakata GoGo lake mi nampita hapo hata hafungagi mlango.

Tatizo mi hajawahi kuniona hata siku moja tangu tufunge ndoa miaka 6 iliyopita, na amekuwa akiniuliza kwanini namuonea aibu, mwanzoni nilidhani utani lakini sasa ameshikilia bango kwanini namuogopa au sijiamini kukata GoGo mbele yake. Sasa jamani mi siwezi kabisa nahisi kama GoGo halitatoka, yani mtu unakata GoGo halafu mtu akuangalie mi siwezi. Imenibidi niwe nabadilisha ratiba niwe nakata GoGo ofisini ili asinishike, lakini najua ipo siku nitazidiwa nikiwa home, nimekuwa nikimkwepakwepa kiutani lakini namuona mwenzangu yupo serious, ameshanipa na maneno kwamba siku nikiumwa nani atanitawaza kama sio yeye, na madongo mengine kibao ambayo naona yana ukweli. Lakini Jamani siwezi, sina confo kabisa.

sioni namna ya kutoka hapa. Vipi we unaweza kukata GoGo mbele ya mkeo/mumeo!!!.

duuhh hii ngumu kidogo hata mi siwezi hii....hahhahaha
 
Angalia na hijadhari, inawezekana mkeo anakukarisha TIGO!!!!!

This is very unusual
 
Keep on dodging kaka na hivyo alivyokueleza ndo daaah i can imagine how sensitive umekuwa juu ya hilo........mwambie u dont find it proper na inakufanya usiwe comfy
 
Au kaka unatoaga mzigo wa maana nini?.Nauliza hivyo kwa kuwa nilishuhudia kijana mmoja ambaye tulipishana mlango mwa choo cha public fulani jamani nilichoona kilinifanya nifikilie mara mbili mbili usize wa diameter ya kiungo kilichopitisha mzigo hule maana Hakuufrashi yaani Utafikili kajifungua mtoto kamtelekeza chooni.
 
Bro nafikiri kaa naye chini kwambie kilicho moyoni kama haridhiki bc bora na iwe mbaya banah issue zingine hata kama ni ndoa sio.
 
duh! hapo naomba nijitoe mpak kwenye kukata gogo,hata kama mnapendana kwenye shida na raha! hapana, raha zingine ni za mmojammoja si lazma muwe wote!
 
kuna mambo mengine mara nyingi ni privy kati ya mme na mke........inategemea mmezoeshana ka kiasi gani.......mi mara nyingi naona wanawake ndio wenye aibu zaidi juu ya hii mambo kuliko wanaume........hii kitu ya kunya pamoja.......pia inaendana sana na mambo mengine ambayo ni privy sana..(haswa kwa manzi) mfano......kunyoa mavuzi pamoja(nani amewahi kumwona demu wake au wife akinyoa mavuzi au kwapa???), au kujamba (nani amewahi kumsikia demu au wife wake akijamba kwa nguvu buuuuuuu mbele yake??).......hii mambo yote ina husiana sana na privy sana (haswa kwa mademu)>...........
 
Hahaahahhaahahhahahahahhahahah kudadeki watu wako wa aina mbalimbali....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom