Uamuzi wa huyu binti naupa heko!

Uamuzi wa huyu binti naupa heko!

kama binti ana wadogo zake wa kike
ni dhahiri baba hashindwi kuwafanyia kitendo
alichotaka kumfanyia dada yao,dada ana wajibu wa
kuwalinda wadogo zake!!kila mtu ana akili na mtazamo wake
yeye alikataa na kuhama,hao wadogo zake je?watakataa?wana ujasiri huo!!
haki ya nani mi ningesema,baba gani hana adabu huyo,asimkumbatie bana khaaa!!
 
mijianaume mingine bwana sijui hataimekujaje kujaje duniani mttsiiiiiuuuuuuuuuuuuuu!
 
When talking of some men,Mungu atusaidie
Kuna binti yeye alifanyiwa hivyo na babu yake and worse enough babu alikua muathirika
alikua ndo kamaliza form four, huyu mdada ana resentment towards men kiasi kwamba huwa namuonea huruma kwakweli..
She is just 21,beautiful,mwnaume wake wa kwanza ndo huyo babu and H.I.V
Mtoa mada:huyo msichana anahitaji counselling ili aondokane na maumivu aliyo nayo na pili,kuweza kumwambia mamake ukweli..ndoa is sacred ila hadi hapo huyo baba hathamini ndoa yake:huwezi kuthamini kitu ambacho mwenye nacho hakithamini.
 
Himidini utafanya makosa sana mwache huyo Bint amtumie mtu yeyote kuufikisha huo ujumbe kuwa Baba yake MZAZI anataka au alitaka kumbaka hapo ndipo utakapokuwa walii mzuri
usichukulie jmbo hilo upande mmoja kwni hata hakimu akiletewa Kesi kuwa baba Mzazi kambaka atamtuhumu tu bali hataMHUKUMU kama unavyodai ni MBAKAJI, hebu kaa upande wa pili wa huyo Baba hata kwa kumtumia balozi au Mzee wa ukoo UTASHANGAA MAJIBU
Bint wa miaka 24 ni mtu mzima na ana wanaume wengi sana na Lukuki kukaa kwa Baba ni uongo kwani anatakiwa awe amemaliza Chuo Kikuu na kuanza kazi hivyo amlee baba yake sasa

Huwezi kusema kuwa binti wa miaka 24 ana wanamme lukuki.! Wee unajua mabinti wote wahuni! Alaaa.
Na suala la kukaa na mzazi wake. We unataka kunambia ni umri gani ambao ss watz tunatakiwa tukome kukaa na wazazi wetu?? Hayo mambo ya wakoloni. Ss tunaishi na wazee hata kama una miaka 60. Kama huna pakwenda na wazazi bado upo. Uende wapi!? Na kina baba wengi wamellaniwa na Mungu. Kazi zao ndo kiwachafua watt wako.
Haki ya mungu km mi rais wa nchi . Mtu kama huyu mi nanyonga hadharani.
Mmsntsssssssssssss! Bata mzinga huyu bb!
 
Last edited by a moderator:

Halafu unaingiza bwana wako nyumbani Baba anakuangalia
Raha za bikira utaliaje, ukitaka kumuibia MPENZIO?
Hakuna Binti wa miaka 24 ambaye hakubahatika kwenda Masomo ya juu akakaa nyumbani bila kubandikwa Mkuyati eti bado yuko kwa Baba yake
Fuatilia hata Big Brother Chase africa uone tabia za vijana wetu walio chiniya miaka 24 wanvyobanduana na Tabia walizonazo hazifai
KIBINADAMU UKISHABALEHE AU KUVUNJA SINIA ONDOKA KWENU VYUMBA VYETU VICHACHE WAWEZA MSIKIA MAMA AKIUMIA UKASONYA
KIFARANGA KINAONDOKA KWA MAMAYE
mbuzi anaondoka kwa mamaye
sembuse wewe mpaka leo unagonga 45 unataka na wajukuu wakuite Kaka au dada?
 
^^
Nimeamini nyumba zetu ni nzuri nje lakini yanayoendelea ndani ni siri inayoumiza.
^^
Binti mmoja ambaye ni kati ya miaka 24 hadi 26 hivi,ameamua kuondoka kwao na kuishi kwa kupanga baada ya baba yake mzazi,kumtaka kimapenzi kwa muda mrefu.
^^
Binti huyu alinieleza haya baada ya kuwa ameapa kuwa wanaume wote ni mashetani,na kuwa hataolewa kamwe.
Pamoja na jitihada za kumsaidia aondokane na mtazamo huo kuzaa matunda kiasi,binti huyu anasimulia kile anatamka 'ushenzi' wa wanaume kuwa baba yake amekuwa akifanya matendo ya kimapenzi na mfanyakazi wake wa ndani,na yeye amenusurika kubakwa na baba yake mara kadhaa.
^^
Nilipodadisi kujua mama yake,anasema nini,alijibu hajui lolote na hakuwahi kumwambia.Na tena hata alipoamua kuhama,mama yake analaumu kuwa binti yake amekuwa malaya Lakini kilichomo ndani ya moyo wake ni chuki dhidi ya baba yake.
^^
Swali ambalo bado najiuliza,,ni kweli tumefika mahali tunashindwa kudhibiti miili yetu? Makovu haya tutayatibu vipi? Inaumiza.
^^

mzee anataka kutafuna kuku na mayai yake??????????????????
 
Halafu unaingiza bwana wako nyumbani Baba anakuangalia
Raha za bikira utaliaje, ukitaka kumuibia MPENZIO?
Hakuna Binti wa miaka 24 ambaye hakubahatika kwenda Masomo ya juu akakaa nyumbani bila kubandikwa Mkuyati eti bado yuko kwa Baba yake
Fuatilia hata Big Brother Chase africa uone tabia za vijana wetu walio chiniya miaka 24 wanvyobanduana na Tabia walizonazo hazifai
KIBINADAMU UKISHABALEHE AU KUVUNJA SINIA ONDOKA KWENU VYUMBA VYETU VICHACHE WAWEZA MSIKIA MAMA AKIUMIA UKASONYA
KIFARANGA KINAONDOKA KWA MAMAYE
mbuzi anaondoka kwa mamaye
sembuse wewe mpaka leo unagonga 45 unataka na wajukuu wakuite Kaka au dada?

Ukwaju. Inaonekana wewe umezaliwa na kukulia uswahilini na mifano unayoonekana kuifuata umeitaja hapo juu. Big bro n.k. hawa uzinifu wanafanya hadharani mbele ya camera. Je kuna kitu wamebakiza hawa!?
Familia yyt inayojiheshimu haina sifa unazozitaja hapo juu. Mi nadhani ukitaka kuona tofauti ya tabia. Hama huko gongo la mboto au pugu. Sogea huku mjini kidogo huenda ukabadili msimamo wako juu ya familia za watz!
 
kabla ya kumhukumu baba, tunahitaji kupata maelezo yake. Kwanini huyo binti hajawahi kumwambia mama yake au hata balozi. Jamani we need to know the other side of the coin...great thinkers hawakurupuki

Huwezi jua ndugu, labda mtoto yuko katika kulinda maisha ya wazazi wake yasiparanganyike. Manake reaction za watu zinatofautiana katika mapokeo ya habari kama hizi.
 
labda nimuulize mtoa mada TZ kuna mwanafunzi anamaliza kidato cha nne na miaka 24/26 kwenye mfumo wakawaida au?hivyo vitu vipo sana na ni ushetani wa mtu binafsi toka enzi za sodoma na gomora.
tunatakiwa kumwogopa Muumba!dah inauma sana.
 
Baraka Mnyone
Tazama vizuri tena,,hakuna nilipotaja elimu ya huyu binti isipokuwa umri.
^^
 
Last edited by a moderator:
When talking of some men,Mungu atusaidie
Kuna binti yeye alifanyiwa hivyo na babu yake and worse enough babu alikua muathirika
alikua ndo kamaliza form four, huyu mdada ana resentment towards men kiasi kwamba huwa namuonea huruma kwakweli..
She is just 21,beautiful,mwnaume wake wa kwanza ndo huyo babu and H.I.V
Mtoa mada:huyo msichana anahitaji counselling ili aondokane na maumivu aliyo nayo na pili,kuweza kumwambia mamake ukweli..ndoa is sacred ila hadi hapo huyo baba hathamini ndoa yake:huwezi kuthamini kitu ambacho mwenye nacho hakithamini.

^^
asante tracy kwa constructive comments,,nimejitahidi sana kumshauri,kumsisitiza ajikeep busy,,ANABADILIKA SANA na kujaribu kujenga postivity towards men..Ila jambo moja bado sijafaulu ni kurudisha roho ya Kusamehe mzazi wake.
Hilo ndilo pekee gumu kwake mwelekeo alionao ukiongezeka Matunda yatakuwepo.
All in all thnx tracy hoja ya councillors nitaichukua kwa uangalifu.
^^
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom