Recent content by baraka luoga

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yasambaza vifaa kinga ili kukabiliana na janga la Coronavirus

    Daaa mbona vifaaa ni vichache sana wakati disposable gown mtu anavaa 45mins anatupa then eti mmetoa 50 kweli bado fungu lilitolewa alijatumika vizur .
  2. B

    JamiiForums Tanzania Duka la Dawa Muhimu za Binadamu (Pharmacy): Utaratibu wa Kufuata na Mtaji wa Kuanzisha Biashara

    Naomba kuuliza kama we ni tabibu na unataka kuanzisha pharmacy kuna haja ya kuingia mkataba na mfamasia ambae atakua ana angalia duka lako.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Lugola : Jeshi la Polisi kamateni watu wanaovihusisha vyombo vya ulinzi na usalama na ' watu wasiojulikana'

    Kick mbaya alafu magu hawapendagi watu kama hawa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Kangi Lugola: Nikifa nizikwe na ilani ya CCM

    Mawaziri wa ndani kuvaa nguo zenye alama za pendera ya tz ni lazima au kuvaa suti na tai ya Bendera ya tz hapo inakuaje
  5. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya mabadiliko madogo katika baraza la Mawaziri: Waziri Mwigulu atemwa, Lugola aula. Mbarawa ahamishwa

    Akaamishe vitu vyake kwenye Nyumba za mawaziri (alikuga kanisa) MTU atakae gusa kanisa awezi pona
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma clinical officer kwa alama hizi?

    naombeni kuuliza je ukikubakiwa chuo na nacte profile lako linabadilika na kama inabadilika linakuaje
  7. B

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne

    samahnini waosoma clinical officer chuo ni lin
  8. B

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    CO c anatakia awe na c ya bioz na c ya chemistry na d ya phy je mi nina c ya bioz na d ya phy na chemistry je nitapata
  9. B

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    nina 3 ya 24 nataka soma aco nina bioz c chemistry d pyh d then je nikiunganisha ACO na CO je ni miaka mingapi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    jamni naomba kujua me nimemaliza kidato cha nne mwaka huu nina bioz c chemistry d na phy d nataka soma ACO then niunganishe CO je mtu akisoma ACO then ikitaka kuunganisha kusoma CO anasoma miaka hiyo mitatu au wanapunguzia miaka
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma Diploma ya Clinical officer kwa Alama hizi?

    mfumo wa kuapply unafunguliwa lini jamani nataka kusoma clinical officer then nina vigezo
  12. B

    JamiiForums Tanzania Naweza kusoma Diploma ya Clinical officer kwa Alama hizi?

    matokeo yA form 4 lin
  13. B

    JamiiForums Tanzania Masharti mapya ya kozi za afya yatazamwe upya

    naomba kuuliza je kuna degree of clinical officer
Back
Top Bottom