Masharti mapya ya kozi za afya yatazamwe upya

Kwa hiyo mkuu kwa combination yangu hiyo ya cbg naweza kuchukua fani gani ya afya Kwa ngazi ya degree?
 
Kwa hiyo mkuu kwa combination yangu hiyo ya cbg naweza kuchukua fani gani ya afya Kwa ngazi ya degree?
kwa taratibu za udahili zilizopo kwasasa kama unakusudia kusoma vyuo vya afya vya tanzania ni lazima uwe na fizikia.ila kama utakwenda kampala international university utaweza kusoma kozi ya udaktari,pharmacia nk. Na kama nchi yetu itarekebisha vigezo vya kudahili usiwe so general ila uwe course specific kama ilivyo kwa kenya na uganda ambapo udaktari, nursing na pharmacy, somo la fizikia ni la ziada na si core subject. Hii ndio maana nakushauri kama unapenda kozi za afya na umesoma CBG jipange kwenda KIU
 
mimi nataka kusoma clinical officer ngazi ya diploma nimefaulu physic (D),chemistry(D),biology(C),e
nglish(C),na mathenatics(D).je naweza kipata chuo gani?
 
mimi nataka kusoma clinical officer ngazi ya diploma nimefaulu physic (D),chemistry(D),biology(C),e
nglish(C),na mathenatics(D).je naweza kipata chuo gani?

Mkuu chem na bios lazima uwe na c ndo uende diploma, otherwise anza na certificate 2
 
nina B chem C biologia C fizikia naweza soma diploma ya pharmacy nkaunga degree
 
Mkuu yaani fizikia na afya ni baba na mama. Unaweza ukaangalia umuhimu wa fizikia katika afya ukiangalia vitu vifuatavyo:
1. Utengenezaji Mashine za Kupimia: Hapa kuna vipimo kama Ultrasound, X-rays, CT Scan, MRI, Mammography, Fluoroscopy n.k
2. Tiba: Kuna kutibu kansa kwa mionzi, kuna kuurudisha moyo upige kazi kwa utaratibu (Defribillation) na hapa ndipo waona Nuclear Medicine imejikita.
3. Kuna vipimo vya kifisiologia kama EKG (kupima umeme wa moyo), endoscopy, pulse oximeter, Kupima BP, ultrasound n.k
4. Kuwa na elimu ya kujiepusha na mionzi, kama kwenye vyumba vya CT Scan, MRI na Xray. n.k.
Halafu hiyo tabia ya kutaka failures ndio waende kwenye cadres za chini ndani ya afya unatakiwa ufutwe mara moja. Tusichezee maisha ya watu.
Exactly.Watu wanataka mteremko kwenye afya za watu.
 
naomba kuuliza je kuna degree of clinical officer
Hakuna degree ya Clinical officer, Kuna sera ilianzishwa kuwa wataanzisha Bachelor in Clinical Medicine kwa hapa Tz, Ila kwa overseas kuna baadhi ya nchi zinatoa mfano University of California , Yale University na vinginevyo. Usizoee sana kusema diploma au degree ya clinical officer bali unatakiwa useme diploma in clinical medicine au bachelor in Clinical Medicine . Clinical Officer ni tittle ya mtu aliye graduate kozi ya Clinical Medicine. Pole sana mkuu
 
Kwan katka medical field kinachokwenda kutumika ni passes ulizonazo katka basic education au unaenda kujifunza proffesional courses...... so stop saying kwamba eti mwenye marks ndogo ktk elimu yake ya sekondari hafai kusoma medicine eti mpk awe na ufaulu mzuri ndio asome medicine hiyo haipo maana ukishakuwa admitted in med school kila kitu ni kipya yaan shule yake ina courses zake pia ambazo mpk uzifaulu ndio uwe qualified, haijalishi uliingia na marks ndogo wala kubwa.
Mimi nimesoma medicine na nimesoma na watu walioingia na marks ndogo kabisa chuo lakini wakawa ni the best drs now in TANZANIA and others now wanafanya specialty course na wanakubalika, na wapo waliingia na marks point za maana, ila walilewa sifa hiyo na kusababisha ku-discontinue tu.
Umenielewa tofauti kwenye quote yangu , unganisha mantiki ya quote yangu pamoja na reply ndo utanielewa , mie sijazungumzia uelewa au ufaulu mdogo aisee cheki vizuri reply yangu na nikipi ambacho mie niliquote na kukireply.
 
Kuna tofauti gani Kati ya MDs wa CUHAS waliosoma wengine mpaka CBG na MDs wa MUHAS wenye PCB? Nazungumzia ufanisi kazini?

Kuna tofauti yoyote kati ya registered MD aliyesoma Hubert Kairuki akiwa na principal passes mbili na wa UDOM mwenye 3 principal passes?

Nchi ambayo ni ya nne Africa kwa vifo vya wamama wakati wa kujifungua kuendelea na urasimu wa aina hii ni upuuzi tu.

CO kusoma MD mpaka asome tena advance nao ni upuuzi mwingine.
 
[QUAOTE="Carl-sum Nisabric, post: 17286133, member: 381068"]Hakuna utofauti wowote ndio maana nakwambia ukishakuwa admitted for med school unakutana na vitu vipya tupu.... na kingine cha kuongezea medical docs frm Muhimbili wanajua kazi wakishafika makazni tofauti na wa bugando na KCMC
Kwamba, madaktari wanaohitimu bugando na KCMC hawajui kazi ukiwalinganisha na wa MUHAS pindi wanapomaliza masomo yao?.

Au nimekuelewa vibaya?.[/QUOTE]
Mbn hata udom wanaosoma md wote ni pcb, kwa hiyo na wenyewe ni wazuri kuzidi wa cuhas?
 
Hakuna utofauti wowote ndio maana nakwambia ukishakuwa admitted for med school unakutana na vitu vipya tupu.... na kingine cha kuongezea medical docs frm Muhimbili wanajua kazi wakishafika makazni tofauti na wa bugando na KCMC
Kwamba,madaktari wanaohitimu bugando na KCMC wanakuwa hawajui kazi ukiwalinganisha na wa MUHAS pindi wanapohitimu masomo yao?.

Au nimekuelewa vibaya?.
 
Back
Top Bottom