Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,474
- 38,213
DuhDuh.
Huyu ninja kama zimelegea vile.
DuhDuh.
Huyu ninja kama zimelegea vile.
Tuna Bongo movies wengi kweli kila sekta. Sasa tutamzika nayo kama anavyotaka ili akaisome vizuri na mwenzake mkuu wa malaika. Nadhani ufikiri sahihi wa watanzania umeanza kufifia toka awamu hii iingie madarakani. Mungu tusaidie. Huyu alishapelekwa mahakamani kwa kosa la rushwa hapo Gairo, alitaka apewe shs. Millioni 30 ili waandike report nzuri ya ukaguzi, kesi yao iliendelea KISUTU kwa muda ila kwa vile nchi hii ukiwa kiongozi au mbunge wa CCM hufungwi. HUYU KANGI LUGOLA SI JIPU BALI NI MAJANGA KWA WIZARA NA NCHI YETU.Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema akifa anatamani azikwe na Ilani ya uchaguzi wa CCM itakayokuwepo wakati huo.
Lugola ametoa kauli hiyo leo Jumapili Julai 8, 2018 katika mahojiano maalum na MCL Digital baada ya kutembelea ofisi za kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) inayochapisha magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti.
Amesema hakuna ilani kama ya CCM miongoni mwa vyama mbalimbali vya siasa nchini, anapenda kutembea nayo kila wakati akiwa anatekeleza shughuli mbalimbali za Serikali.
Amesema alikabidhiwa ilani hiyo na Rais John Magufuli wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 katika mkutano wa hadhara uliofanyika jimboni kwake, Mwibara Wilaya ya Bunda mkoani Mara.
“Alinikabidhi na kunieleza nihakikishe ninakwenda kuisimamia. Tangu nimekabidhiwa nikasema muda wowote nitakaowatumikia Watanzania Ilani hii itakuwa kitendea kazi namba moja,” amesema.
“Muda wote ilani hii itakuwa kitabu rejea kwa sababu muda wote nitakuwa kazini hivyo lazima nipate rejea kwa ajili ya kutekeleza.”
Chanzo: Mwananchi
HahahahaDuh.
Huyu ninja kama zimelegea vile.
Awamu zote si walikuwepo hawa na ndio wametufikisha hapa?leo kukubali kulishwa matango poli bila kuhoji ndio uzalendo?!!au kuvaa nguo yenye bendera ya taifa ndio uzalendo??waliokuwa upande wa wakwapuaji wa mali za taifa leo wamejigeuza wazalendo!!waliokuwa wanazipigia kelele mali hizo zisiibiwe leo wanaonekana sio wazalendo(ni vibaraka )wa wazungu!!daaaa kweli siasa za afrika ni uhuni!lakini wanacheza na akili za wananchi tu kwani wengi wao ndio walewale tu!!Kila mtu anaonesha ufundi wake wa kujifanya yeye ni Mzalendo kuliko wengine!!