Recent content by Baraka Kasinge

  1. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi ya kutengeneza platform, website, app, au graphic nitaanza kwa kujitolea

    Sasa naona ulikurupuka kusoma post ya mwenzio... Ebu soma upya mwenzio aliomba laki 5 ya kazi gani. Naona wewe ndo utakuja kumtapeli mteja kwa kujifanya utafanya BILA MALIPO.
  2. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi ya kutengeneza platform, website, app, au graphic nitaanza kwa kujitolea

    Ebu jenga hoja. Twambie website itaanzaje kazi na kufikisha views idadi X bila kutoa pesa yoyote? Zingatia Domain, Hosting, Marketing n.k
  3. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi ya kutengeneza platform, website, app, au graphic nitaanza kwa kujitolea

    Unamzibia mwenzako riziki kwa hoja nyepesi sana. Kama hujawahi kusikia, je wewe DOMAIN UTAIPATA BURE? HOSTING JE? Viewers wa kukidhi vigezo vya Google adsense utawapata kwa kutumia bando lako binafsi? Kwa kifupi, kwa kutaja laki 5 kwa kila kitu ameonesha anavyoijua kazi yake Na wewe inaonekana...
  4. Baraka Kasinge

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni ngumu wakuu! Hebu fikiria uungane na mtu ukubwani halafu uanze kumletea sheria zako

    Unaweza kutoa mfano wa tabia na imani kuendana? Maana vitu hivi sio rahisi kufanana
  5. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Kibaha isiwe Dar es Salaam?

    Hoja yako ni ukaribu... Na umesema, "Kwanini wasiifanye wilaya ya Kibaha kuwa ndani ya Dar es Salaam ili watu wasambae kujenga huko?" Hoja yako hujaijenga vizuri...
  6. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Kibaha isiwe Dar es Salaam?

    Baada ya hapo, Morogoro pia itakuwa jirani na Dar, hivyo Moro ihamishiwe Dar. Kisha, Dodoma itakuwa jirani na Dar, nayo Dodoma ihamishiwe Dar, hivyo hivyo, Singida, Iringa na kwingineko. Kwa lugha rahisi, Tanzania/Afrika yote iitwe "Daslam"
  7. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania Kuuawa kwa Wanajeshi wetu wawili Congo. Je, kuna haja ya TISS na JWTZ kuiga utendaji wa MOSSAD na Jeshi la Israel?

    Huyu mhenga alosema hii kauli yako atakuwa mkazi wa Goma
  8. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania Biblia imeandika Yakobo alipigana na Mungu usiku kucha na akashinda pambano hilo. Inakuwaje Mungu anapigana na anapigwa na kiumbe chake ?

    Kinachosumbua hapa ni lugha... Maelezo yako hayaoneshi kushindwa kwa Mungu. Na kung'ang'ania au kushinda kwa mwanadamu hakumaanishi kushindwa kwa Mungu. Kushindwa kunakomaanishwa hapa ni KUSHINDA MTIHANI... Ili unielewe vema, chukulia unapofaulu mtihani inamaanisha kushindwa kwa mtunga/mtoa...
  9. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania Hizi kalamu kwenye boxer huwa za nini?

    Usizichome, ndugu.
  10. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

    Mmhh ngoja nikafanye utafiti🚴🏽
  11. Baraka Kasinge

    JamiiForums Tanzania CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

    Ila MAKAMU watakuwa wanamjua tayari
Back
Top Bottom