Recent content by baraja zephania

  1. B

    JamiiForums Tanzania MSIGWA: Tanzania tunafanya vibaya kwa kukosa WANADIPLOMASIA wenye uwezo

    Ukweli kabisa toka moyoni na mungu ana kuona wapinzani hawa shauli serikali?
  2. B

    JamiiForums Tanzania IRAQ: 27 Wauawa kwa bomu wakila aiskrimu

    Hawa jamaa hawa!! ila watakwambia marekani wanahusika
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli; Dhahabu ni nzito kuliko damu? PART 1

    Ccm uwasikilize ukawa? Nyie tusubilini tuu miujiza ilihili taifa lionekane halina laana. Vingne nikujiburudisha tuu ili siku ziende hakuna la maana hapo.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Magamba yame mkela labda
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hii ni Akili kweli CCM?

    Sijui nani katuloga kuna maswala mengine haya hitaji elimu ya juu kuona uozo. Lakini kwa mtanzania ilisha shindikana kabisa kujua anaetia shida ktk taifahili. Ivi hakunaga sehemu ya ku Google unajua taifa lawatu ambao hawajitambui mwombeni msaada jamani.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ripoti ya kamati za madini usikabidhi menejimenti ya ACACIA, kawakabidhi wanahisa

    Thubutu kumbe mnaona simple simple tuu eti? Hapo lazima nao watahitaji huo mchanga waupime wahakikishe nani yupo sahihi kwakutumia nao watalaamu wao. Yoteyayote tuombe lipoti alyo pewa mkuu iwe naukweli
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ripoti ya kamati za madini usikabidhi menejimenti ya ACACIA, kawakabidhi wanahisa

    Kwa akili yako unazani wakipewatu tayari wana amini nikweli?ndugu hakunaga ripoti iliyo na utata ifanyiwe maamuzi ya upande mmoja. Watu watahitaji kujilizisha hakunaga kesi inasikilizwa upande mmoja.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Jana nilikuwa na mzmbabwe aliniambia maneno ambayo binafsi yalinitisha sana. Aliniambia kule kwao baada ya kufukuzwa wawekezaji na mgabe watu waliflahia sana wakajua mambo yatakuwa swali. Lakini jamaa alisema walijikuta mpa dhahabu za wachimbaji wadogowadog i mean dhahabu ya zimbabwe in general...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ACACIA

    Mi huwa ni mvivu sana kuandika ninge andika kuuelezea huu mgodi ulivyo undergroud wa tanzania wangeona maajabu.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya ACACIA

    Haiwezekani serikali ya tanzania ku mine huo mgodi hasa wa bulyanhulu.never ever foreve fuateni hizo ndoto
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

    Afu mimi nawashangaa wa tz ivi kwa akili yenu mnafikiri madini ni yenu? Tumieni akili haya madini yangekuwa yetu siwange tuhusisha kwenye mikataba, mimi siwezi kuingilia ugomvi nisio ujua. Wakati walio chukua chao wametulia
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa picha

    [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
  13. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji anena mazito sakata la mchanga wa madini

    Mta achalini kukurupuka wapi nimetukana?
Back
Top Bottom