Hii ni Akili kweli CCM?

gkutta

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
273
168
Hili lilitendeka chini ya utawala wa CCM
.."Mwaka 1997,bunge letu lilipitisha sheria ya hovyo kwa hati ya dharura ,tarehe 26.3.1997 serikali ilipeleka muswada wa sheria mbili na bunge kuzipitisha,

Serikali ilipeleka mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya kodi iliyofuta kodi zote kwenye sekta ya madini."
 
watafuta kiki amna kitu apa ukitaka kujua angalia kampeni zao zina ishiaga wapi ata madawa ilikuwa ivi ivi leo hii yako wapi watendaji awanaga porojo kama zao
 
Sijui nani katuloga kuna maswala mengine haya hitaji elimu ya juu kuona uozo.
Lakini kwa mtanzania ilisha shindikana kabisa kujua anaetia shida ktk taifahili. Ivi hakunaga sehemu ya ku Google unajua taifa lawatu ambao hawajitambui mwombeni msaada jamani.
 
Awamu hii wanajitetea na kutetewa eti wao ni tofauti na awamu zingine, Mimi bado nataka kuona huo utofauti kwa hiyo mikataba kurudishwa bungeni na kujadiliwa upya, halafu wale walioisaini mwanzo wapelekwe mbele ya sheria........
 
Nimewaza sana nikaona dawa ni kuipeleka ccm mahakama ya A.mashariki kuishtaki kwa udhalimu na Ufisadi, ila nimeona watashindikina kule, nikawa na wazo la kwenda the Heague kushtaki nikaona nako kule process ni ndefu. Nimefikia uamuzi kuishtaki ccm kwa shetani ila muda huu nimeona 'ni kesi ya nyani kuipeleka kwa ngedere' SASA NAMWACHIA MUNGU.
 
alafu leo wanakata viuno kusheherekea matokeo ya upuuzi wao wenyewe.
Na hao wabunge wote wa sisiemu walio kuwepo wahojiwe haiwezekani wapitishe sheria mbovu namna ile tena kwa kura ya ndiooooooooo kiushabiki kama wapo mpirani kumbe ni masuala nyeti Kwa uchumi wa taifa. Waitwe wahojiwe lazima walikula mlungula ili muswada uletwe kimagumashi na upitishwe kimagumashi. Ningekuwa magufuli ningewapa zawadi wabunge wa upinzani wa kipindi kile walipinga sana huo uozo ila hawakusikilizwa just like now hawasikilizwi wakitoa maoni yao kisa sisiemu wanashangilia as if sio wao pia walioshangilia sheria ilipopitishwa
 
Awamu hii wanajitetea na kutetewa eti wao ni tofauti na awamu zingine, Mimi bado nataka kuona huo utofauti kwa hiyo mikataba kurudishwa bungeni na kujadiliwa upya, halafu wale walioisaini mwanzo wapelekwe mbele ya sheria........
Point.....hata wao wanatunga nyimbo wakiimba ccm ni ileile.....
 
Na hao wabunge wote wa sisiemu walio kuwepo wahojiwe haiwezekani wapitishe sheria mbovu namna ile tena kwa kura ya ndiooooooooo kiushabiki kama wapo mpirani kumbe ni masuala nyeti Kwa uchumi wa taifa. Waitwe wahojiwe lazima walikula mlungula ili muswada uletwe kimagumashi na upitishwe kimagumashi. Ningekuwa magufuli ningewapa zawadi wabunge wa upinzani wa kipindi kile walipinga sana huo uozo ila hawakusikilizwa just like now hawasikilizwi wakitoa maoni yao kisa sisiemu wanashangilia as if sio wao pia walioshangilia sheria ilipopitishwa
Magu naye alikuwa bungeni na alikuwa ccm,sasa nani amwite nani na nani atoe zawadi
 
Hawa ni watu wa ajabu sana Magufuli anafikiri as if kulikuwa na serikali nyingine ilikuwa madarakan kabla yake
Ni watu wa ajabu.....eti wanajifanya hawajui kwamba tangu nchi ipate Uhuru ilikuwa inaongozwa na ccm na wanachofanya ni muendelezo wa utawala wa ccm!
 
Back
Top Bottom