Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Habari!
Hivi kweli tunasimama tunasema tunaibiwa mchanga wa madini kweli hatujarogwa kweli?
Hivi pure gold wanayosafirisha mpaka leo tena na viwanja vya ndege migodini hatulioni tunaona mchanga wenye asilimia 30% ya mabaki badala ya kudeal na 70% ya pure gold ambayo hatuambulii kitu?
Hivi hatujarogwa kweli?
1. Hivi kwanini waliosaini au kama tunaipenda nchi si iwekwe wazi mikataba ya madini na gesi wazi tuisome wote mnaficha nini?
2. Walitunga mikataba na kuisaini wako wapi mpaka sasa?
3. Walio pitisha hizo sheria wako wapi?
4. Walikuwa wanasimamia wako wapi?
5. Kwani mlilazimishwa kuingia hiyo mikataba kwanini msijitoe ijulikane moja?