YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,994
Ripoti zote za mchanga na makontaina yaliyosafirishwa ikikamilika kama utataka kukabidhi popote mahali sahihi ni kuikabidhi mkutano mkuu wa wanahisa wa ACCACIA.Usiwape management ya ACCACIA.Ili wajionee dhahabu iliyo kwenye makontainer miaka yote kama iko kwenye rekodi zao za taarifa za fedha na mali walizosomewa.
Kuna uwezekano mkubwa hii ikawa kashfa kubwa ya kimataifa kuliko hata zile za makampuni kama ya enron nk.Itakayoleta mtikisiko mkubwa mno duniani
Kuna uwezekano mkubwa hii ikawa kashfa kubwa ya kimataifa kuliko hata zile za makampuni kama ya enron nk.Itakayoleta mtikisiko mkubwa mno duniani