Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

Ni rasmi sasa sakata la mchanga litatugharimu

Huruma kwa vizazi isianzie kwenye kuziba nyufa. Akumbuke na sisi tukumbuke, vile wapinzani walivyopiga kelele bungeni juu ya hii mikatba ya siri, miswaada yenye mambo mazito inavyopitishwa kwa hati ya dharura, na namna yeye akiwa mbunge alivyoshiriki kupitisha hayo madudu, na namna walivyodhihakiwa na kukebehiwa. Leo mnataka wafanye nini?

Kumbukeni kinachoendelea hadi leo bungeni, wamewekwa kina tulia kusimamia maamuzi ya serkkali na kupinga kila hoja inayotolewa na wapinzani eti kwa kuwa wataipiga chini cchm ambayo ndiyo yenye haya madudu. Mnataka watu afanye nini? Waliyataka. CCM ndiy e adui wa hii nchi. Acheni kunyoosha vidle kwa watu wambao hadi leo wengine miongoni mwao wamepotea katika mazingira ya kutatamisha na hakuna dalili ya mtu kujali.

CCM ndiyo inatupa hii misiba.
Halafu kijitu ya Lumumba inaanza kunyooshea watu vidole,oooh mara walipokea rushwa kwa Acacia mara nini.Inasahahu kwamba CCM ndio waasisi wa huu uozo maniner zao.Nna hasira na hawa watu mkuu we acha tu,Yaani nikiona yale marangi ya kijani natamani nimchane chane mtu na meno.Halafu leo yanakuja kutufanyia ngonjera as if hayakuhusika na chochote.
 
Nadhani yale mambo ambayo upinzani walikuwa wakiyapigia kelele enzi na enzi jamaa anaanza kuyapigania. ..ukweli ni kwamba katika kuyapigania tukubali kama nchi iliyokua imelala kuwa we have to incur the cost for the mistakes we have done past. ...ishu ni kwamba tumeamua kusonga mbele basi tukomae mpaka kieleweke haya mambo ya kunyoosheana vidole hayatufikisha popote kama kweli tunataka tanzania ilioendelea. ..nchi zote duniani zilizoendelea they were developed coz they learnt thru their mistakes wakainuka wakapigana. ..
Mngewasikiliza wapinzani tokea mwanzo wala tusinge incur hizi cost za kipumbavu,Walipiga sana kelele mkawa mnawapuuza na kuwakejeli kwamba wao ni pinga pinga,sasa now yanawatokea puani.Hakuna Mtanzania atakubali kuingia kwenye cost yoyote sababu tulishapiga kelele sana.Mbaya zaidi hata kwenye Gas hamkujifunza,mikataba ilisainiwa kwa siri na sheria ya Gas inapita kwa sku 1 bila kujadiliwa na kurekebishwa.Na hapa ndo tulipigwa hasa na hawa wachina.
CCM ni chanzo cha huu ujinga kabisa.
 
Vijana weng wa lumumba wanaonesha wana uchungu sana juu ya kuibiwa rasilimali zetu lakn huwasikii wakiandika kuhusu "MIKATABA MIBOVU ILIYOSAINIWA NA WENYEVITI WAO, HATI ZA DHARURA ZILIZOPITISHWA BUNGENI NA MAGUFULI AKIWEPO" huu ni unafiki mkubwa sana kwa taifa letu.
 
Dah! !?what a dumb nation like this? ? Rais anapigania mikataba ya madini ikae sawa watu eti wanamsikilizia ajikwae? ?tuwe na huruma kwa vizazi vyetu vijavyo guys we are too much selfish
Hiyo huruma kwa nini hukua nayo wakati wa mikataba ile ya kinyonyaji?
Huku tukijua tulikosea sana kwenye madini,eti bado tukarudia upuuz ule ule kwenye gesi,halafu leo tunataka kulishwa matango pori kana kwamba Watanzania wote ni zero brain. Haya yote tumejitakia wenyewe,ni madhara ya hati za dharura,mikataba ya siri,wabunge kuleta ushabiki na kugonga meza hata kwa mambo ya ovyo na usaliti wa Rasimu ya Katiba. Hayo ndiyo yaliyotufikisha hapa na bado kwa kuwa hayajabadilika, hakuna jipya!
 
Kama wanajiamini wako sahii Basi waende mahakamani wasitutishe
Kama ni kutupiga basi watupige lakini itakuwa mwanzo wa mwisho wa wizi wao. Huwezi siku zote ukamwogopa adui yako eti unasubiri aishiwe siraha, kuna mda mambo yakikufika shingoni huna budi kupambana hata ukifia vitani itabakia katika historia ulikufa kishujaa. ACACIA ni adui na ni lazima kupambana nae, hata tusipofanikiwa sana lakini sie kwetu tunasema .."bilem'olengile"
 
kwa kweli ccm ya mkapa na jk wametuingiza mkenge sana kwenye mikataba ya rasilimali zetu hasa madinj na gesi. itatugharimu sana.....
Ni kweli lkn lazima tufike mwisho wa hasara hizi, iwe marufuku kupitisha Sheria kwa hati za dharura
 
mleta mada ni vema ungekaa kimya, wala usituletee za kututisha, kama makosa yalifanyika tunachotaka ni kurekebisha, usituletee uchama katika hili, kuna wengine wamedumu ccm kwa zaidi ya miaka 50 leo wapo upinzani, unasema nn juu ya hao? pigeni kelele ila sisi kama taifa tumeamua kusema sasa basi, na kazi imeshaanza. hakuna mtu anayetishika nchi hii ni yetu sote tuungane ktk hili na sio kukatishana tamaa. subir riport ya tume ya pili uone maamuzi yake. hao mabepari hawatutishi hata wao wanajua mziki wa sasa.
 
Kwani hizi kampuni Za madini zingeweza kutoa mapato halisi ya madini kutoka kwenye makinikia, wameshaiba sana kutokana na mwanya uliopo kwenye sheria zetu mbovu lkn sasa imetosha. Hata walie kutokwa na machozi ya damu, hii ngoma ipo palepale, tunataka pesa zetu.
 
Alafu me ningependa pia kushauri serikali kuwa wanapoingia mikataba ya aina yoyote na nchi wahisani katika Maswala ya kiuchumi na maendeleo kwanini wasiwe wanaweka hadharani tunaisoma na sisi wananchi tunachanganua tunatoa Maoni yetu b4 hatujajiingiza kwenye mikataba ya kutunyonga?maana kwanza hao manasiasa siyo wasomi elimu zao ni za kusoma na kuandika tu na kujua kupiga mdomo Kwa ajili ya matumbo wasomi tupo mitaani wachanganuzi wamambo.
 
Hivi kwanini mh raisi hakusubiri ile tume nyingine ilete majibu ili aweze kuoanisha sampuli kisha kutoa maamuzi mujarabu na yenye uhakika zaidi
 
Kama wanajiamini wako sahii Basi waende mahakamani wasitutishe
Washaenda mahakamani mkuu. Hawakurupuki kama sisi. Tulikurupuka kuingia mkataba tukapigwa. Tukakurupuka kuvunja mkataba tunapigwa tena mara ya pili
 
Kwa hiyo mlitarajia wao wakae kimya tu wasipiganie mkate wao?
 
Huruma kwa vizazi isianzie kwenye kuziba nyufa. Akumbuke na sisi tukumbuke, vile wapinzani walivyopiga kelele bungeni juu ya hii mikatba ya siri, miswaada yenye mambo mazito inavyopitishwa kwa hati ya dharura, na namna yeye akiwa mbunge alivyoshiriki kupitisha hayo madudu, na namna walivyodhihakiwa na kukebehiwa. Leo mnataka wafanye nini?

Kumbukeni kinachoendelea hadi leo bungeni, wamewekwa kina tulia kusimamia maamuzi ya serkkali na kupinga kila hoja inayotolewa na wapinzani eti kwa kuwa wataipiga chini cchm ambayo ndiyo yenye haya madudu. Mnataka watu afanye nini? Waliyataka. CCM ndiy e adui wa hii nchi. Acheni kunyoosha vidle kwa watu wambao hadi leo wengine miongoni mwao wamepotea katika mazingira ya kutatamisha na hakuna dalili ya mtu kujali.

CCM ndiyo inatupa hii misiba.
Sasa mkuu wapinzani walichokuwa wanapigania si kinachofanyika sasa hivi, kwanini wanaendelea kupinga??
 
Back
Top Bottom