Kweli,kwa sababu wananchi hawachukii ufisadi bali wanawaonea wivu mafisadi,kuna viongozi waliopinga ufisadi walipopewa madaraka a.k.a kuingia jikoni wakapiga,pili nyakati za uchaguzi raia utasikia wanauliza wagombea, unatuachaje,tatu raia wanawabeza viongozi waadilifu wanaostaafu utumishi bila...