Recent content by baracky

  1. B

    Idadi ya Maprofesa Nchini Tanzania

    1. PROF. BARONGO JUSTUS O B.Sc. (UoN), M.Sc. (Queens), Ph.D. (McGill). Email: jbarongo@uonbi.ac.ke 2. Professor L Barongo Community Medicine: Professor Contact Details: (+264 61) 2065012 lbarongo@unam.na 3: Professor Feliciano Barongo mzumbe University 4: Prof Silas Lwakabamba is a Rwandan...
  2. B

    TANAPA tafadhali pokea simu ueleze jinsi ya kuomba kazi Online

    mkuu na mim nina tatizo nahitaji msaada kwa nn najaza kote lakini kwenye qualification ndio pananichanganya ukiselect hainipi option nichague nini
  3. B

    Nafasi za kazi TANAPA: Vijana wenye sifa jaribuni bahati

    mkuu samahani nina swali kidogo hii system yao mbona inasumbua kujaz huwa haimalizi unaweza nipa msaada
  4. B

    Majengo sekondary - Moshi tukutane hapa

    mim nilisoma adv pale sema jamaa alikua mkali sana anachapa mtu wa advanced kama olevel
  5. B

    Naomba tujadili hili wakuu

    Kwa nini tangu 2016 mpaka sasa taasisi nyingi zimekua haziajiri tena wamekua wakitoa tu nafasi za volunteer na internship kwa upande wangu huwa napata tabu sana kuelewa unakuta kampuni limeajiri mtu mmoja tu halafu linaita intern watu zaidi ya wawili hivi tunafika wapi hali inazidi kua mbaya naomba
  6. B

    Nani yuko macho tupige stori?

    Watu wako macho guiz
  7. B

    Msaada: Jee Zip Code ni kitu gani?

    Zip ni cod za nchii kijana andika google tanzania zip code utaziona google ndio kila kitu kijana
  8. B

    Naombeni mnisaidie hili...

    Nitafute kesho mtaa wa samora mm naujua vizur ukifika posta nitakuelekeza kama ni samora ya posta sawaa mana napigia mishe mishe maeneo ya mirambo steet
  9. B

    Naombeni mnisaidie hili...

    Usadiwe nn sasa hupajui au
  10. B

    Post (za ualimu) zimewekwa kama dakika 5 na zikaondolewa!

    Hajapangiwa bado ndio anasubiria amemaliza mwaka jana
  11. B

    Post (za ualimu) zimewekwa kama dakika 5 na zikaondolewa!

    Wadau nauliza ni kweli post za ualimu zimeshatoka na nicheki website ipi kama zimetoka mana kuna mtu ananisumbua
  12. B

    Suarez v diego costa

    Wanauwezo wa kumsajiri costa labda wauze wachezaji wa4
  13. B

    natafuta used smartphone kwa 300,000

    Niko na sumsing s2 vipi
  14. B

    Taarifa: Rais Kikwete aagiza bendera kupepea nusu mlingoti kwa siku tatu za maombolezo ya Kitaifa y

    Tanzania kwa kujipendekeza hatujambo ngoja hata rais wa USA mfano afe utasikia siku Tatu za maombolezo tupunguze kujipendekeza
  15. B

    Mwaka mbaya kwangu siwezi sahau ila mnaweza nipa ushauri na moyo Kama rafiki ye

    Kweli Mungu hamtupi mja wake nashukuru Mungu nimepata sehemu ya kuishi nawapenda wote marafiki zangu mliokuwa mkinifariji hasa kwa kipindi hiki kigumu asanteni sana kwa kunipa moyo hakuna linaloshindikana chini ya Jua Mungu ashukuriwe sana
Back
Top Bottom