Majengo sekondary - Moshi tukutane hapa

ze big

JF-Expert Member
Apr 27, 2015
382
350
Habarini wana jamvi. Kwa wale waliosoma majengo secondary moshi mjini hebu tukutane hapa tuendeleze ummoja wetu
 
Mwaka gani mimi ni 2010-2012 sema nilichokipata sina hamu sitaki ata kusalimia huyo bro.Peter Lyimo aka kichui
Miaka yote tu. Kuna wengine tumetoka pale 2008
 
me ndo nlkuwa nawauzia sambusa na maandazi hapo shulen kwenu 2005-2016, mnanikumbuka ?
 
Back
Top Bottom