Recent content by barack2010

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yamjibu Dangote. Yamtaka akachukue makaa ya mawe kutoka mgodi wa Ngaka

    Jana nimeona mawaziri wetu wakijitutumua kuzungumzia suala Dangote haswa sababu za usitishwaji wa uzalishaji wa cement hapo kiwandani kuwa umetokana na mechanical issue. Jambo ambalo sielewi; kama makaa ya mawe yanapatikana hapa nchini kwa ubora unaotakiwa na bei stahiki kwa nini Dangote aagize...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tanga alazwa Hospitali ya Taifa, Muhimbili

    pole sana Mr martin, nakuombea kwa mwenyezi mungu akunusuru na maradhi yanayokusibu
  3. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo: We should not compare Magufuli with Mwl. Nyerere

    Prof. Kitila Mkumbo "It is totally wrong to compare mwl with Maguful, mwalimu was philosophically well packed".
  4. B

    JamiiForums Tanzania JE HIZI NDIO SABABU ZA BI. HILLARY CLINTON KUSHINDWA UCHAGUZI?

    Sote tumeshuhudia katika uchaguzi wa Marekani mambo yakienda tofauti na matarajio ya wengi, je nini kimesababisha mgombea wa democratic Bi Hillary Clinton kushindwa? Moja ya sababu ya Bi Hillary kushindwa uchaguzi ni kashifa iliyomkumba ya kutumia anwani binafsi ya barua pepe ambayo iliweza...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Trump anachanja mbuga mbele ya Hillary

    MATOKEO HADI KUFIKIA SAA 10:20 ASUBUHI E.A TIME Electoral votes Clinton 218 while 55,219,174 (47.1%) popular votes Electoral votes Trump 266 while 56,435,390 (48.2%) popular votes In order to win election that candidate must acquire 270 electoral votes
  6. B

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    MATOKEO HADI KUFIKIA SAA 10:20 ASUBUHI E.A TIME Electoral votes Clinton 218 while 55,219,174 (47.1%) popular votes Electoral votes Trump 266 while 56,435,390 (48.2%) popular votes In order to win election that candidate must acquire 270 electoral votes
  7. B

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    MATOKEO HADI KUFIKIA SAA 8:30 ASUBUHI E.A TIME Electoral votes Clinton 215 while 50,942,017 (47.2%) popular votes Electoral votes Trump 244 while 52,079,143 (48.2%) popular votes In order to win election that candidate must acquire 270 electoral votes Matokeo haya yanaendelea kushangaza kula...
  8. B

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    MATOKEO HADI KUFIKIA SAA 8:30 ASUBUHI E.A TIME Electoral votes Clinton 215 while 50,942,017 (47.2%) popular votes Electoral votes Trump 244 while 52,079,143 (48.2%) popular votes In order to win election that candidate must acquire 270 electoral votes
  9. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    May his soul rest in peace!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ni mwanasiasa gani hapa Tanzania ambaye unamkubali na pia anakuvutia kisiasa

    Hussein Bashe yuko vizuri
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kiungo Yaya Toure aomba msamaha Manchester City

    Mimi ni mmojawapo wa mwashabiki wa mpira wenye higher respect kwa Yaya Toure, nimejikuta nina mdisrespect Gurdiola kwa chuki zake dhidi ya huyu jamaa. Napaswa kumsifu Yaya kwa kuomba msamaha ingawa hakustahili kwani kuomba msamaha hakumdhoofishi wala kumshusha hadhi bali kunamuonyesha kuwa yeye...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe ameongozwa na chuki dhidi ya rais Magufuli na Serikali yake

    Nimesikiliza clip ya mhe Bashe kwenye youtube akichangia mpango wa nchi uliowasilishwa na waziri wa fedha yuko very clear kwa hoja zake, kumkosoa mhe Bashe kwa mchango wake wa kizalendo, inatia shaka kwa mleta hoja. Ndiyo changamoto tulinayo nayo baadhi yetu, hatutaki kukoselewa, mhe mbunge...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimesitisha kumuombea Rais

    Wengi wetu huwa tunatarajia hali zetu za kimaisha kuwa nzuri kadri ya siku zinavyosonga mbele, mbaya hali inapokuwa kinyume na mbaya zaidi ukikuta ugumu wa maisha unasababishwa na mkono wa mwanadamu kwa makusudi. Hakuna maendeleo kwa taifa letu yatakuja bila kuanza kwa kuboresha hali za maisha...
Back
Top Bottom