Wadau katika hali isiyo ya kawaida leo nikiwa naenda Ibadani nimeonana na Mzee Ndesambulo.
Alikuwa akiongea na mzee Mmoja ambaye simjui. Alipo ulizwa na yule bwana amepokeaje kauli ya Slaa juu ya uchaguzi kutofanyika, amesema tunafkiri uchaguzi ufanyike 2015 kwa kuwa viongozi hawa bado...
Ni mtazamo wangu. Sina mashaka na Muungano wa vyama hivi. Shida yangu ni mfumo wa ndoa yao.
Uchumba wao sijauelewa vizuri, nani mke na nani mme.
Maana hapo zimeungana nguvu mbili, nguvu ya .... Na kiliberali. Nasubiri kuona uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kama ndoa itakuwa...
Mbeya leo imedhilisha wamechoka CDM. Watu walijaa kwenyemahubiri, mkutano ukawa kiduchu. Wengi walitoka Ileje, mbozi, Momba, Lungwe na Mbalali. Lakn hata robo uwanja haukujaa. Hata hivyo Washukuru Waumini wa Dini walio kuwa na Tamasha pale wamesaidia kuchakachua picha.
Jamani Mimi nipo uwanjani. Naamini hapa kuna kitu CDM wanajifunza. Mapokezi ya leo ni watu wachache sana. Hata kauwanja wanakofanyia nusu yake hajafka. Hakuna kinachosemwa. Wanasema Sugu ni Rais na Slaa ni Raisi. Pembeni kuna Mkutano wa Injili unaendelea. Anayefahamu uwanja wa CCM RWANDA NZOVWE...
Madiwani wa halmashauri ya Ileje Mkoani Mbeya, Wameendelea na ziara yao ya mafunzo katika mkoa wa Iringa, Morogoro, Dodoma na Dsm.
Akizungumzia ziara hiyo, Kiongozi wa Madiwani hao amesema wamejifunza vitu vingi vikiwepo namna halmashauri zingne zilivyo wekeza katika vyanzo vya vitega uchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.