Tanzia: Diwani wa CHADEMA afariki dunia (Bunda)

Tanzia: Diwani wa CHADEMA afariki dunia (Bunda)

Mungu amlipe anachostahili kwa kuisaliti Ccm na kujiunga na chama cha wabaguzi, waroho wa madaraka, mafisadi, wadini, wakabila, wakanda, wauwaji.

kuunga mkono ccm ni sawa na kumtukuza mwovu shetani , wahusika wote ni wa motoni tu !
 
Kama alikuwa hatembei na Sumu kama Ben sir 8 bas Mungu amuweke anapostahili.
CCM KATA WAZI TWENDE TUICHUKUE.
 
Diwani wa Chadema kata ya Nyasura wilaya ya Bunda ndugu Zamberi Mwisarya Ngobayi amefariki dunia jana tarehe 28.10.2013 ktk hosp ya Bugando Mwanza kwa ugonjwa wa moyo. Bwana ametwaa!

Sijaelewa kwani jana ilikuwa tarehe ngapi? Au habari hii si ya mwezi huu?
 
Back
Top Bottom