Madiwani wa halmashauri ya Ileje Mkoani Mbeya, Wameendelea na ziara yao ya mafunzo katika mkoa wa Iringa, Morogoro, Dodoma na Dsm.
Akizungumzia ziara hiyo, Kiongozi wa Madiwani hao amesema wamejifunza vitu vingi vikiwepo namna halmashauri zingne zilivyo wekeza katika vyanzo vya vitega uchumi.
Amesema wameenda SUA kuangalia shughuri za kilimo na kuona teknolojia kubwa ktk mapinduzi ya kilimo. Pia amesema walitembelea Dakawa , Kibaigwa na Maeneo mbalimbali mkoani Dodoma.
Pia alisema wanamshukuru Naibu waziri wa Fedha ambaye alikubali ombi la Madiwani hao walipo mwomba ufadhiri wa ziara hii.
Akiongea kwa njia ya Simu katibu wa Siasa wa waziri Huyo Elius Ndabila amesema madiwani wamefurahia Mafunzo hayo japo kume kuwa na hujuma za wazi toka kwa baadhi ya Viongozi wa wilaya hiyo.
Alisema anashangazwa na aina ya uongozi unaopinga maendeleo na kufurahia umaskini uliopo ileje. Amesema huo ni kuonyesha uwezo Mdogo wa kufikiri ambapo baadala ya kushirikiana wanarumbana. Amesema anaskitishwa na hujuma za wazi za Mbunge wa Wilaya hiyo zidi ya Madiwani Walipo fika Dodoma. Amesema hapo ndipo tunapotambua uongozi na aina ya uongozi.