CHADEMA inakufa au CUF kumung'oa Lipumba?

CHADEMA inakufa au CUF kumung'oa Lipumba?

BAPUPEGHE

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
220
Reaction score
38
Ni mtazamo wangu. Sina mashaka na Muungano wa vyama hivi. Shida yangu ni mfumo wa ndoa yao.
Uchumba wao sijauelewa vizuri, nani mke na nani mme.

Maana hapo zimeungana nguvu mbili, nguvu ya .... Na kiliberali. Nasubiri kuona uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kama ndoa itakuwa salama.

Naomba mwenye uzoefu na Mambo haya atusaidie historia ya Muungano wa Mafahari zaidi ya wawili na Mwisho wake. Upinzani Tanzania unakufa,. Muungano ungekuwa Mzuri wangeanzisha chama Kingine na kuua vyote vya awali. Lakni kwa mkutadha huu ni usanii.
 
Huu unao uita muungano ni kwa ajili ya kupigania katiba bora tu maana swala la katiba liko juu ya itikadi za kisiasa.
 
kuwa gamba na mzigo,magamba siku zote yanawaza ngono tu,eti watu kushirikiana kutetea upatikanaji wa katiba bora lenyewe limeona ni ndoa hiyo! shame on you
 
Ni mtazamo wangu. Sina mashaka na Muungano wa vyama hivi. Shida yangu ni mfumo wa ndoa yao.
Uchumba wao sijauelewa vizuri, nani mke na nani mme.

Maana hapo zimeungana nguvu mbili, nguvu ya .... Na kiliberali. Nasubiri kuona uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kama ndoa itakuwa salama.

Naomba mwenye uzoefu na Mambo haya atusaidie historia ya Muungano wa Mafahari zaidi ya wawili na Mwisho wake. Upinzani Tanzania unakufa,. Muungano ungekuwa Mzuri wangeanzisha chama Kingine na kuua vyote vya awali. Lakni kwa mkutadha huu ni usanii.

Mashaka kweli kweli.
 
Kwani ndoa ya CUF na CCM imevunjika lini mpaka aanze kutafuta Bwana mwingine? CCM itazidi kuweweseka maana mkewe haoni future kadri siku zinavyozidi kusonga mbele!
 
Huu unao uita muungano ni kwa ajili ya kupigania katiba bora tu maana swala la katiba liko juu ya itikadi za kisiasa.
Uroho wa chadema tu, kwa hiyo mambo mengine yanafaa ubinafsi? Mfano kuunda kambi ya upinzani bungeni kunahitaji ulafi?
 
Kwenye kuunda kambi ya upinzani bungeni machadema yaliilani cuf eti imeolewa na ccm leo imekuwaje chadema wanapora mke wa mtu km kawaida yao?
 
maccm mtaweweseka sana mwaka huu na hayo mawazo yenu ya CDM KUFA,mtasubiri sana na mtakufa nyie kifo kitakatifu.MMETUNYONYA SANA,MMETUDHARAU SANA,MMETUIBIA SANA RASLIMALI ZETU KWA FAIDA YA MATUMBO YENU,MMETUDHALILISHA SANA NA SASA TUNASEMA INATOSHA 2015 AMA ZENU AMA ZETU
 
Una tindikali hapo? Km umeishiwa hebu chukua hapi kwa henry kileo au hata sumu kwa sanane au lwakatare
 
kweli hakuna anayeijua kesho yake.
leo hapa waliokuwa wakiitwa CCM-B(CUF) na mwengine CCM-mteule wa Rais (NCCR-MAGEUZI) Wamekaa meza moja na ''Wapinzani wa kweli na watetezi wa wanyonge'' CDM.

Ooohhh masikini wenzangu wale walioitwa MASHOGA kwa kuwa ni MALIBERALI waneufyata kimyaa kama vile sio wao.
''sasa nazidi kuamini kuwa USITUKANE MKUNGA NA UZAZI UNGALIPO''
CCM-B na CCM-C wanapoungana na ''watetezi wa wanyonge kuisambaratisha CCM-A.
 
Nchi kwanza vyama baadae naunga mkono umoja huo kwa kupata katiba bora umoja ni nguvu utengano ni udhaifu ccm ni Wengi bila ya kuungana mchakato wa katiba watahodhi
 
Vyama hivi kamwe haviwezi kuungana kwa maana ya kutengeneza union. by the way itikadi haziko sawa, sioni kama chadema watakubali kuwa "waliberali" ! ambacho wanafanya kwa sasa ni ushirikiano tu kuweza kupaaza sauti kuhusu sheria ya mchakato wa katiba baada ya hapo kila kitu kitarudi kama kilivyokuwa.
 
...magamba mtaweweseka sana,tumeanza na katiba baada ya hapo mambo mengine yatafuata...tumeamua kushugulikia kwanza nyoka (ccm) aliyeingia ndani ya nyumba yetu tofauti zetu tutazishugulikia baadae..."presha inapanda presha inashuka" mzigo ungonga pichu unarudi unagonga pichu unarudi...na bado hadi kufikia 2015 mtakuwa mmechanganyikiwa kabisa...UTAIFA KWANZA VYAMA BAADAE...
 
Back
Top Bottom