Recent content by banki

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mimi ndie mwanaume ninaeotongozwa na wanawake wengi kuliko mwanaume yeyote Tanzania

    Kwa hiyo umekuja kutafta soko JF au unataka nn labda?
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuacheni uoga, mabinti wadogo hawajui chochote

    Mimi wangu ngoma droo kasoro tarehe ya kuzaliwa tu, kwa uzi huu nakuunga mkono maana naenjoy sana huwez amini
  3. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuacheni uoga, mabinti wadogo hawajui chochote

    Mimi wangu ngoma droo kasoro tarehe ya kuzaliwa tu, kwa uzi huu nakuunga mkono maana naenjoy sana huwez amini
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mume wa maana, mwenye maisha mazuri Bongo hii

    Haya kazi kwaenu wadada/wanawake
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini tafsiri ya mabinti kuzaa wakiwa bado wapo kwa wazazi?

    Kawaida tu sema inaonekana jambo la ajabu kwasababu ya mazoea na tamaduni lakin ni jambo la kawaida sana. Mbona wanaume nao wapo wanaonazalisha wanawake kisha wanaume hao wanaachiwa watoto wadogo ambao wanakuja kuwa mzigo kwa wazee vilevile ila hawasemwi?
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi haiwezekani?

    Inawezekana lakini ukiwa na hofu ya MUNGU
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake sijui wanachukulia vipi maisha

    Kama ni kupotea njia huyo ndo kapotea akajifanya kusahau kuwa maji yakimwagika hayazoleki. Mwambie pole dada
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemkataa baba mzazi, na sitaki kupima DNA

    Uko sawa kabisa, Big-up
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipimo cha mwisho cha raha ya mapenzi ni kulia machozi mwanaume kugugumia

    Sio wote wanalia wengine wanacheka,usijidanganye kuwa kumliza ndo kumridhisha. Wengine wanalia kwa kukuonea huruma kuwa wanakuambukiza magonjwa. Kaa chonjo
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wanafia uchagani na uhayani

    Acha ukabila mkuu! me pia nmeoa mchaga mzuri,mtamu na hardworking kwa kweli mambo yako fresh na wazazi wangu pia wanafurahia kuwa na mkamwana huyo wananipa big-up kwa kuoa kwa MBESA
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada above 30

    Maisha mipango hivi inawezekana kweli kila mtu unayekutana nae kuanzia labda 23yrs hadi above 30 haupati husbad material? unless you are not serious, lakini kama uko serious kupata mwenza hutakurupuka kuingia kwenye mahusiano. Me wa kwangu alikuwa na 27 tulipoanza na now we are happy with one...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima amejibu tuhuma za mume wa Flora Mbasha?

    Haya bwana me napita tu
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simuelewi hapokei simu yangu, akijibu message basi ni kwa kifupi

    Uliperform chini ya kiwqango pole bwana mdogo, Utapata mwingine ila jifunze namna ya kumridhisha mpenzi wako pengine ulishindwa ku exceed customer expectations
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa ni wewe utamfikiriaje mama mkwe wako

    Nampotezea maana me sio mme wake kusema amenidharau labda maana kama mme wake hana hata baiskeli anaona "range" lazma atahamaki
  15. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Saa 10 Ni Saa za Mapenzi, Kama uamini huu ndio ushahidi

    umekosa cha kuandika,uongo mtupu
Back
Top Bottom