Recent content by Bangsweezy

  1. Bangsweezy

    Tigo SME

    Ivi tofauti ya vifurushi vya sme na postpaid ni ipo mkuu?
  2. Bangsweezy

    Sikiliza kijana, mapenzi ni utapeli kwa mwanaume

    Umepiga kwenye mshono mzee
  3. Bangsweezy

    Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

    Kwako unauzaje iyo evvol 43 smart ya 4k
  4. Bangsweezy

    Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

    Poa mkuu nitachek mzigo wao mpya watakao leta utakuaje
  5. Bangsweezy

    Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

    Yes nami nazikubali zipo vzr ila sijajua kwa upande wa picha quality yake ipo vzr mkuu like hisense au au ndo za kucompare na solar na rising tu
  6. Bangsweezy

    Hii hapa Television ya kumiliki kulingana na kipato chako

    Vp mkuu hizi za evvol zipoje maana nilitaka nichukue nilienda dukani kwao nikaambiwa zimeisha
  7. Bangsweezy

    Ni smart TV gani 4K kwa sasa ipo vizuri sana?

    Mkuu nataka nichukue Tv hizi za evvoli maana wanasema ni brand ya italy na natumia sound bar yake naona iko vzr tu so je kwa upande wa tv zake ni nzuri (ubora picha, sauti na uimara) na ni kwl ni brand ya italy au nao ni china tu.
  8. Bangsweezy

    Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

    Hivi hawa wanasiasa hua hawanaga kustaafu
  9. Bangsweezy

    Hili ni soko la eneo gani?

    nimemiss maeneo hayo hapo siku ya mnada mpunguzi pale yaani full outing ya nguvu
  10. Bangsweezy

    Refa wa Simba, Yanga ajadiliwa usiku mnene Dar

    naona story yanga akimfunga simba na si simba akimfunga yanga kwasasa
  11. Bangsweezy

    Hatimaye DSTV wakongwe wa digitali waachia local channels

    hayo mampira ndo yanawaingizia pesa na watu kuliko hao Dstv wew unadhani akicheza simba au yanga arafu man u au chelsea nani atakua na viewer wengi kwa hapa Tz
  12. Bangsweezy

    Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

    Mbona kuna maeneo hayapo Inamaana maeneo hayo tu kwa Dar ndo yanashida ya maji?
  13. Bangsweezy

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Last man stand up
  14. Bangsweezy

    JamiiForums Usiku wa manane

    Aisee stress kumbe zinakata usingizi kiasi ichi
  15. Bangsweezy

    Je, nitafanya nini endapo moja ya masomo niliyochagua halifundishwi kwenye chuo nilichochaguliwa?

    Inawezekanaje uchaguliwe na chuo husika na usilikute ilo somo? Kwani umechaguliwa masomo gani na chuo kipi?
Back
Top Bottom